Ridhiwani na Abdul wana busara sana

Ridhiwani na Abdul wana busara sana

Hapa tunazungumzia namna ya kuhimili presha huenda tuhuma za kweli au za Uongo andiko langu ndo maana nikasema tuhuma nyingine zinaweza kua kweli tuko kwenye kuhimili presha mtoto wa mseveni wa Uganda unamuona?
Mbona kanuni ni rahisi tu? As they say, “If you can’t stand the heat, get out of the kitchen”!
 
Nikikumbuka Ridhiwani kipindi akiwa mtoto wa rais alikua na tuhuma nyingi sana kiasi kwamba nyingine kwa akili ya kawaida unaona ni Uongo kama ya madawa la kulevya china huu ulikua ni Uongo mtoto wa Rais heti hasipige michongo ya uhakika kumiliki migodi na mambo mengine yaje kua madawa ya kulevya ?Hii akili yangu iligoma sio kwamba tuhuma nyingine nazitete au sio za kweli nyingine za kwale zipo.

Sasa kuhimili presha kama ile sio poa wengi tunajua sijawahi kuona wakikanusha kwenye media sio mchezo hii kwa Sasa ndo anaweza kua anapiti Abdul presha ya maneno ya watu tuhuma nyingine ambazo hata wewe unaweza kua unashangaa kuhimili presha kama hizo walizima huwe na Wisdom sana.
Wamekutuma?.
Waambie siku zao zinahesabika.
 
FB_IMG_1788745947654.jpg
 
Mwenzako anapiga hela anasafiria ndoto ya mama yake, wewe unawaza kumnanga
 
Mimi unafikiri ni mdogo sio wakati katibu wa chama chadema akiwa Padre slaa kiufupi tunasema
Muhimili presha kama Ilivyokua kwa Jeska Magufuli na matokeo ya shule
jitahidi sana kuwa mchunguzi wa mambo walau sikiliza sana maneno ya hao wanao tuhumiwa ukipata bahati ya kuwasikiliza kwenye story zao tu za kawaida...muda mwingine wao wenyewe watuhumiwa huwa wanajisahau na kujikuta wanatoa majibu ya jinsi walivyo ingia mkenge wa hatia ya mambo yao...

huwa wanafanya mambo wanajisahau baadae wana ropoka wenyewe ZINGATIA HILI​
 
Huu Uzi sio wakujadili ukiwa na chuki hapa namna gani kua na uvumilivu wa pesha wewe tu aya maandishi yamekufanya panic hivi ndo maana huwezi kunielewa unaona mtoto wa mseveni anachofanya kwenye mitandao?
Mijinga hiyo a.k.a mipoyoyo, yenyewe baada ya kuwashindwa Kila kitu ndo imefikia Hali hiyo. Kina ridhiwani wanawapotezea tu sababu wanawaona ni mafala tu.
 
Back
Top Bottom