Ridhiwani kugombea ubunge Chalinze

his royal highness prince Ridhiwan Kikwete of Pwani-chalinze.
 
Tatizo liko wapi hapo mtoa mada? Hana sifa? Hata ww unaruhusiwa kugombea
 
Mbona yeye ameanza kampeni kabla. Wazee dodoma mko wapi au kufuli ndio zimeisha!
 
Hivi kuna kugombea kitu na mtu mwenye nguvu???!!!!!!

Mwenye nguvu huchukua tu
 
Labda utuambie tatizo nini Ridhiwani kugombea Ubunge Chalinze??

Jenga hoja sio mradi kuandika tu hapa upumbavu wenu wa kujadili watu.
 
Labda utuambie tatizo nini Ridhiwani kugombea Ubunge Chalinze??

Jenga hoja sio mradi kuandika tu hapa upumbavu wenu wa kujadili watu.

Kwani kuna sehemu imeandikwa kuna tatizo????!!!!
Hivi unajua ukikaa kimya upumbavu wako tutachukua muda sana kuugundua!!!!
 
stupid mind discuss people, ana haki ya kugombea kwa mjibu wa katiba ya Tanzania.

Possibly could be some one from the north, i swear stupid mind would do, wouldn't they??? think twice....
 
Kwani kuna sehemu imeandikwa kuna tatizo????!!!!
Hivi unajua ukikaa kimya upumbavu wako tutachukua muda sana kuugundua!!!!

Hoja na mantiki ya uzi huu ni ipi??
Maana huyu mtoa hoja anaonesha kama ni issue kubwa sana.

Heri yako ww muungwana kwenye kundi la wapumbavu wenzako!
 
Ni haki yake kikatiba,kama ningekuwa ni mimi na katiba inaniruhusu nagombea tu,maana ni haki ya msingi kwa kila mtanzania
 
Hoja na mantiki ya uzi huu ni ipi??
Maana huyu mtoa hoja anaonesha kama ni issue kubwa sana.

Heri yako ww muungwano kwenye kundi la wapumbavu wenzako!

Hoja na mantiki ni taarifa kwa mujibu wa vyanzo vyake sasa wewe harara ya nini???!!!
Kwani umeambiwa kila taarifa ijayo hapa ni lazima iwe ni "issue kubwa sana"; sijui kwa kipimo gani sasa just incase!!!!!!!!

Kuna international forum,mapishi, entertainment na majukwaa mengine unaonaje ukapita mitaa hiyo ili upumbavu wa huku usisumbue ulimbukeni wako???!!!
 
Labda utuambie tatizo nini Ridhiwani kugombea Ubunge Chalinze??

Jenga hoja sio mradi kuandika tu hapa upumbavu wenu wa kujadili watu.

1. hii nitetesi kwa mujibu wa mtoa taarifa, hivyo sidhani kama kuna ukweli.

2. Endapo ni kweli je, katiba, taratibu na kanuni za ccm zinaruhusu kampeni za chinichini? (tafadhali lete maelezo)

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…