OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 437
stupid mind discuss people, ana haki ya kugombea kwa mjibu wa katiba ya Tanzania.wanajamvi!!
Mtoto wa rais wa jamhuri ya muungano ya Tanzania mh Jakaya Mrisho Ridhiwani Kikwete kugombea ubunge jimbo la chalinze kwa tiketi ya ccm. jimboni chalinze kila uchao kutafuta kuungwa mkono
Na wale wasiokuwa wa pwani walichagua watu wa pwani kuwa marais Dau lao ni lipi.....ugali wa dona na mlenda?watu wa pwani watamchagua tu,dau lao ni ubwabwa na nyama,hawajitambui hawa..
Anatafuta baraka!??? waaapi.. !?Nani wa kumzuia The crown prince, Madega aandike maumivu kwa mara nyingine. Akome kwa nini yeye babaake hakuwa raisi.