Ridhiwani Kikwete Ndani ya MAGU,


samahani ndugu,alikua magu day,kandawe au lubugu? Au shule ya msingi moi au isandura? Niambie tafadhari,naona huyu kijana ameamua kutusumbua.
 

MTM,
Kaishamaliza mpunga wote..hahahahaha njaa mbaya
 
Mwalimu kwann usiende kuulizia kwa Lusana ukatambua bei yake
 


Sasa mwl. ujue vitu vingine si muhimu sana kuvileta humu, kimsingi mimi binafsi sijakuelewa mantiki yako hasa unataka nini? Ridhwan amekosea kukupeni hilo SIMTANK? unahoji gharama ya Simtank hilo kwani nyie mlimtuma la shilingi ngapi na yeye akaja kuwaambieni hizo laki tano? mi nadhani wakati mwingine tuwe na shukrani tu, kuna vitu vya kuhoji lakini si katika suala hilo.
 
Naomba kujua maana halisi ya mgeni rasmi na vigezo vinavyohitajika kuweza kupatiwa nafasi hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…