Ridhiwani Kikwete kuzindua leo mtandao wa maendeleo ya vijana meru kwa harambee ya kufa

mmaranguoriginal.

JF-Expert Member
Jan 1, 2014
4,060
459
Wadau nawasalimu sana.

Leo tarehe 29.11.2014 mheshimiwa sana mbunge Wa chalinze Rizione Kikwete Leo anatarajiwa kuzindua mtandao Wa maendeleo ya vijana Meru.

Mosi anatarajiwa kuwasili Leo kuanzia SAA Tatu asubuhi na kufikia ngurudoto na kisa kufikia viwanja vya shule ya Msingi Leganga kwa kufanya harambee ya kukata shoka kwa kuwawezesha vijana Wa Meru kubuni na kuanzisha miradi mbalimbali kwa ajili ya kuwapatia vijana ajira na kujiongezea kipato. Rizione kikwete atakata utepe pia kwenye Saccos ya vijana hao iliyopo kwenye jengo la Meru community bank.

Makampuni binafsi na taasisi binafsi wamealikwa kama vile Mathias manga, Papa king, kili flora flour ,Ole Sendeka, lazaro Nyalandu, John D. Pallangyo kamanda wa vijana meru n.k idadi ni kubwa sana.

Karibuni wote kwa kuhudhuria haswa vijana Wa meru . Nami nitakuwepo nimealikwa . Joshua nasary amealikwa pia ..

Nawasilisha .nitazidi kuwa update
 
Ukoo wa panya tu huuu. Nina hasira sana maccm tokea nione walichokuwa wanafanya jana kulinda wez wa escrow. Nmekasirika mno sijawahi chukia namna hiii. Sijawahi fanya siasa ila nitajitolea kutoa somo kwa yeyote nitakaye kuwa naye apige ccm chini kabisa....

Ni watu wengi sana wanakufa mahosptalini kwakukosa dawa tu leo hii bila huruma watu wanaokatili uhai wa wenzao wanalindwa kweli?
 
Watu wa mmeru mkimbizeni huyu mwizi mkubwa wa rasilimali za nchi hii na baba yake. Anawahadaa mmeona wenyewe walichofanya bungeni jana kama siyo kwamba wabunge wa ccm wanaungana kuhujumi uchumi wa nchi hii nini? Wana meru tafadhali huyo mtu hafai ni mwizi mkamateni akifika hapo warudishe fedha walizoiba kwenye akaunti ya escrow.
 
Kwa nini umuite mheshiwa sana? Just Mheshiwa inatosha siyo mpaka uonyeshe kumpigia magoti.
 
Ukoo wa panya tu huuu. Nina hasira sana maccm tokea nione walichokuwa wanafanya jana kulinda wez wa escrow. Nmekasirika mno sijawahi chukia namna hiii. Sijawahi fanya siasa ila nitajitolea kutoa somo kwa yeyote nitakaye kuwa naye apige ccm chini kabisa....

Ni watu wengi sana wanakufa mahosptalini kwakukosa dawa tu leo hii bila huruma watu wanaokatili uhai wa wenzao wanalindwa kweli?

Unachoondika kinaendana na mada Yangu , ccm itakuwa chama dola sikuzote na huwezi kuzuia mafuriko ya Ccm, umekasirika sana kajilipue
 
Watu wa mmeru mkimbizeni huyu mwizi mkubwa wa rasilimali za nchi hii na baba yake. Anawahadaa mmeona wenyewe walichofanya bungeni jana kama siyo kwamba wabunge wa ccm wanaungana kuhujumi uchumi wa nchi hii nini? Wana meru tafadhali huyo mtu hafai ni mwizi mkamateni akifika hapo warudishe fedha walizoiba kwenye akaunti ya escrow.

Nimekudharau sana kama kijana mdogo una mawazo ya kizee namna hiyo ,leta ushahidi Wa hayo unayosema kama siyo unatumika vibaya , vijana Wa Meru wapo kimaendeleo zaidi sio unavyowachukulia
 
Sina muda mchafu wa kujibizana Na wezi Mimi.na wewe Ni wale wale Tu ccm Ni ukoo wa panya.
 
Wadau nawasalimu sana.

Leo tarehe 29.11.2014 mheshimiwa sana mbunge Wa chalinze Rizione Kikwete Leo anatarajiwa kuzindua mtandao Wa maendeleo ya vijana Meru.

Mosi anatarajiwa kuwasili Leo kuanzia SAA Tatu asubuhi na kufikia ngurudoto na kisa kufikia viwanja vya shule ya Msingi Leganga kwa kufanya harambee ya kukata shoka kwa kuwawezesha vijana Wa Meru kubuni na kuanzisha miradi mbalimbali kwa ajili ya kuwapatia vijana ajira na kujiongezea kipato. Rizione kikwete atakata utepe pia kwenye Saccos ya vijana hao iliyopo kwenye jengo la Meru community bank.

Makampuni binafsi na taasisi binafsi wamealikwa kama vile Mathias manga, Papa king, kili flora flour ,Ole Sendeka, lazaro Nyalandu, John D. Pallangyo kamanda wa vijana meru n.k idadi ni kubwa sana.

Karibuni wote kwa kuhudhuria haswa vijana Wa meru . Nami nitakuwepo nimealikwa . Joshua nasary amealikwa pia ..

Nawasilisha .nitazidi kuwa update
Mkuu huu uzi umeuanzisha ili utafutie watu ban haiwezekani watu wamepiga billions of money zetu wewe unaleta utumbo.nipo hapa Muhimbili hari ni mbaya tusilete utani kwenye mambo ya maisha waache watu wajadili wizi haiwezekani Mwizi atoe mapendekezo namna ya kumhukumu mwizi inauma jamani inauma.Mmarangu feki usinitafutie ban mkuu ngoja nikuepuke
 
Alipewa kapewa wivu utapunguza siku zako za kuishi

wapuuzi tu nyie wezi mna tetea uwizi...ndomana nyie na familia zenu mnaishi kwa shida tu
sisi tunapigania mambi ya msingi nyie mna shadadia use.... tu
mnajikomoaaa wenyewe nyie
 
sasa rizione anakuja Meru kama nani?ana influence gani hapa Meru au Tanzania kwa ujumla,au anatafuta mke wa tatu hapa Meru,hivi anawajua wameru?atapigwa mawe huyo,shauri yake
 
Uyu jamaa ni kilaza kwelikweli jimbo la Chalinze wananchi wake wanaishi maisha magumu ya kuomba omba yeye kiherehere kuwasaidia wameru, kweli nyani haoni k.u.n.d.u.l.e
 
Back
Top Bottom