Jamaa anauliza hapo juu kuwa SIMBA TRUST ni ya nani?Kuna watu hawapendi kuusikia
Ni mdogo wake na IPTLSimba trust ni nani?
Ugali moto mboga moto hawezi kujitokeza kirahisibaba yake amekimbia wapi?alitakiwa awepo leo
Inakua kasi katika kuwa na viwanda vya kufyatua watotoChalinze sehemu inayokua kwa kasi
Ni lazima?baba yake amekimbia wapi?alitakiwa awepo leo
Mhh, Tajiri!!?? Huo utajiri umaenza lini?Amenena vema sana huyu tajiri kijana