Ridhiwani kikwete awakabidhi wana chalinze zawadi ya Pasaka

Komando Kipensi

JF-Expert Member
Jun 8, 2014
334
59
Ikiwa yamebaki masaa machache wakristo duniani kote kusherekea sherehe ya Pasaka

Mbunge kijana Ridhiwani kikwete ameitumia siku ya leo kuwapa zawadi ya maendeleo wanaichi wa jimbo lake chalinze. ...

Katika siku ya leo amezindua shule mpya katika kijiji cha Lukwabe kwa miaka mingi watoto wa eneo hilo wamekua wakisafili kilometa 15 kufwata elimu jambo lilimalizwa leo na Ridhiwan kikwete. ..
Pia amezindua jengo la dispensary pamoja na kufunga michuano ya ligi za vijana

1428172504121.jpg
Jengo la darasa uliozinduliwa
1428172578999.jpg
Ndani ya jengo la darasa

1428172670699.jpg
Pamoja na shule hii dispensary moja uliozinduliwa

Siasa ni vitendo sio maneno pasaka njema
 
1428172935097.jpg
Ridhiwani kikwete akiwa na viongozi wa kata

1428172998669.jpg

Mbunge wa chalinze akimalizia kukagua jengo

1428173100843.jpg
Jengo la dispensary uliozinduliwa
1428173199166.jpg

Mbunge wa chalinze akiteta na mzee FITINA JANGA
 
Ikiwa yamebaki masaa machache wakristo duniani kote kusherekea sherehe ya Pasaka

Mbunge kijana Ridhiwani kikwete ameitumia siku ya leo kuwapa zawadi ya maendeleo wanaichi wa jimbo lake chalinze. ...

Katika siku ya leo amezindua shule mpya katika kijiji cha Lukwabe kwa miaka mingi watoto wa eneo hilo wamekua wakisafili kilometa 15 kufwata elimu jambo lilimalizwa leo na Ridhiwan kikwete. ..
Pia amezindua jengo la dispensary pamoja na kufunga michuano ya ligi za vijana

View attachment 240484
Jengo la darasa uliozinduliwa
View attachment 240486
Ndani ya jengo la darasa

View attachment 240487
Pamoja na shule hii dispensary moja uliozinduliwa

Siasa ni vitendo sio maneno pasaka njema

Hapana, siasa ni uwezo wa kujenga hoja na kudadavua sheria ili wapiga kura wako wasichangie maendeleo yao bali WAITWISHE MZIGO USIOBEBEKA SERIKALI!
 
Ikiwa yamebaki masaa machache wakristo duniani kote kusherekea sherehe ya Pasaka

Mbunge kijana Ridhiwani kikwete ameitumia siku ya leo kuwapa zawadi ya maendeleo wanaichi wa jimbo lake chalinze. ...

Katika siku ya leo amezindua shule mpya katika kijiji cha Lukwabe kwa miaka mingi watoto wa eneo hilo wamekua wakisafili kilometa 15 kufwata elimu jambo lilimalizwa leo na Ridhiwan kikwete. ..
Pia amezindua jengo la dispensary pamoja na kufunga michuano ya ligi za vijana

View attachment 240484
Jengo la darasa uliozinduliwa
View attachment 240486
Ndani ya jengo la darasa

View attachment 240487
Pamoja na shule hii dispensary moja uliozinduliwa

Siasa ni vitendo sio maneno pasaka njema
Unajua mimi napata shida sana na hicho kiswahili chako? Eti jengo la darasa uliozinduliwa, hicho ni kiswahili gani? Hii dispensary moja uliozinduliwa, ni kiswahili gani hicho? Utakuwa mhamiaji haramu wewe!!
 
Ni muda sasa wa kumuhuliza kodi ya wanachalinze kodi yao hiko wapi?Tapeli ea mali za Umma.

swissme
 
Na kitendo chochote ambacho kitafanywa kwa hila ili kuumiza watu wasio na hatina kina backfire!.

Kiongozi yeyote bila kujali cheo chake, anayeratibu utekelezaji wa hujuma, ili kuvuruga amani na usalama wa nchi hii, ili wasio na hatia waumie, kwa maslahi yake binafsi, ninamtamkia uharibifu usio kipimo wala kikomo umfuate kuanzia sasa!. Na katika dhiki yake asiwe na mfariji, aabike na afedheheke mbele ya nchi. Njia yake iwe giza na utelezi, malaika wa Bwana akimfuatia.

Wabarikiwe, wainuliwe na wavikwe nguvu, uwezo, hekima, maarifa na kibali chapekee wale wote watafutao haki, amani na salama ya nchi. Wale wamhurumiaye mnyonge na maskini. Wahuzunikao wakiona mateso na dhiki yake. Mkono wa Bwana usipungue kwao. Mchana waongozwe katika nguzo ya wingu, usiku waongozwe katika nguzo ya moto. MUNGU AWATENGE NA ADUI MHARABU KWA NGUZO YA MOTO. JAPO ATAWAFUATIA, LAKINI HATAWAFIKIA KAMWE!.

NIMETAMKA HAYA, NA YAMEKUWA KWA SABABU BWANA AMEKUSUDIA KUIPONYA NCHI. Lakini waovu, watendao uovu mkuu juu ya nchi, kuuzuia mkono wa Mungu, hawatasimama. Wataanguka na hawatainuka tena.

Wakuu, jana nimeposti kuhusu USALITI Wa ACT-na kujiondoa kwangu katika chama hicho, Lakini cha ajabu jioni ya leo, watu wenye gari dogo aina ya Toyota IST rangi ya silver yenye madirisha ya giza, walitaka kuniteka kuniingiza kwa nguvu ndani ya hilo gari, ikanibidi nikimbie. Hii imetokea maeneo ya sinza makaburini nikielekea nyumbani.

Zaidi ya hiyo wadau, Kuna issue kubwa sana inakuja wiki ijayo. Ni mpango Hovu la kulihusisha CHADEMA na utekaji, utesaji pamoja na mauaji mbali mbali hasa za siku za nyuma. Mojawapo ni ya kiongozi mmoja wa upinzani toka kanda ya ziwa. Hii issue imeratibiwa na kiongozi mkuu wa ACT-pamoja na makada wa CCM. Huyu ni mwanachama wa CHADEMA mwenye tuhuma nzito aliyelipwa fedha na CCM kwenda ACT……Subirini wiki ijayo. Ila nashangaa mada yangu jana iliondolewa na mods.
 
Linda gari kwa GPS Tracker na kwa kupitia simu yako au computer itakupa ripoti:
- Eneo gari lako lilipo kupitia google map- Route za gari siku zilizopita hii hasa wenye tax,gari za kukodi na mizigo- Itakupa kilomita ilizotembea- Itakupa mwendokasi wa gari husika
Bei ni poa na hakuna malipo ya mwezi kwa maelezo tu PM au email:ngamatechn@gmail.com

Bei ni Tsh ngapi kwa kigari kama Carina Ti au Corona Premio!?
 
zawadi? swali: AMEJENGA YEYE KWA FEDHA ZAKE AU NI MICHANGO NA KODI ZA HAO HAO WANANCHI???
 
Back
Top Bottom