Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 36,351
- 23,758
- Thread starter
- #21
Nimeshamaliza na kuwaleteeni.Ukishamaliza kuota utuambie

Mimi sipo kutafuta uteuzi hapa jukwaaniHata ukitoa masabari kwa mtoto wa kikwete hupati teuzi
Nimekusamehe bure kabisa ndugu yangu. Amani ya Bwana iwe pamoja naweKuondoa jinamizi la ndoto hizo ... ingia chumbani kwa dada yako ukapige kimoko.....
Mungu akusamehe sana ndugu yanguBila marinda, hata ububujikwe na machozi Ni kazi bure. Ukisha left group kukurudisha Ni ngumu Sana.
Mimi siyo chawa ndugu yanguChawa wa bei Rahisi asiye na Aibu hata chembe akiwa kazini kutafuta riziki
Subiri muda ufikeInaonekana ndoto yako imekuja na barua ya uteuzi kabisa, lakini pole, kwenye uhalisia, Ikulu haifikiwi kwa kulala, inafikiwa kwa ridhaa ya wananchi!
NashukuruPumbavu
Utakufa weweNaombea afe kabla ya hiyo Kwa maslahi mapana ya nchi yangu Tanzania
Mwambie aliyekutuma kua na Watanzania pia wameamka usingizini, wameshaacha kuotaMimi siyo chawa ndugu yangu
Sawa nashukuru
Siyo umesamehe, sema umekubali baada ya kumuelewa ndugu yako mtanganyikaNimekusamehe bure kabisa ndugu yangu mtanzania
Wewe dada malaya sana hadi aibuNdugu zangu Watanzania,
Nimeota ya kuwa Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete Atakuwa Rais Wa Tanzania kuanzia Mwaka 2040. Ambapo Urais wake ataupokea Kutoka Kwa Mheshimiwa Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi .Ambaye ataanzia 2030 Mpaka hiyo 2040 na kumkabidhi kijiti Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete. Hii itakuwa ni baada ya Mheshimiwa Rais wetu Mpendwa kuomba kupumzika na kustaafu Urais 2030.
Lakini pia nikaota ya kuwa Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete kuteuliwa nafasi ya Uwaziri wa Mambo ya Nje pamoja na Uwaziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa pamoja na ile ya Utumishi ili kuvijua vyema na kuwa karibu kimahusiano na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama katika kujiandaa na majukumu ya Uamiri Jeshi Mkuu.
Lakini pia nafasi ya Uwaziri wa Mambo ya Nje itakuwa ni katika kumjenga na kumtambulisha kimataifa na kumfanya ajenge mtandao utakaosaidia na kurahisisha masuala ya kidiplomasia pale atakapokuwa ameingia madarakani na kumfanya kutokuwa mgeni katika masuala ya kidiplomasia pamoja na kujua Dunia inakwenda vipi na kipi afanye kulinda heshima ya Tanzania kimataifa pamoja na kunasa fursa mbalimbali.
Hivyo katika kumjenga atapitishwa katika wizara hizo tatu nyeti japo ya utumishi anaweza asipitishwe kwa sababu hapo amekaa na anapafahamu vyema kwa kuwa alitumikia kama Naibu waziri wake. Lakini pia Kuna nyota nyingine itaendelea kung'aa na kuendelea kuzungushwa katika wizara tofauti tofauti.
Mengine niliyoyaona ndotoni nisingependa kuyazungumzia hapa wala mahali penginepo pale popote pale mpaka kifo changu. Ila kitu na jambo moja ningependa Kuwaambieni ni Kuwa jiandaeni tu ya kuwa Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete ni lazima atakuja kuwa Rais wa Nchi hii ya Tanzania. Kikubwa tuendelee kuomba uzima tu. nimeona Mengi ndotoni na mengine ambayo ni ya siri mpaka Mwisho.
Kuna wengine nimeona Ndotoni wanautafuta Urais kwa nguvu za kila aina lakini hawapo hata kwenye Uwaziri Mkuu wala Unaibu waziri Mkuu hawatakaa waupate. Nimeona wengine pamoja na ndoto na kiu zao kubwa za kukalia kiti hicho cha Urais .lakini nikaona kuna mtu hata mimi simfahamu wala kumuona sura yake alikuwa anawasogezea viti vya Uwaziri ili wakalie.hii ikiwa na maana ya kuwa watakuwa ni mawaziri na wataishia kwenye nafasi hizo na hawatapanda zaidi ya hapo.
Naomba nisiandike Mengi wala kuendelea zaidi ya hapa.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Atakua na Umri gani?Ndugu zangu Watanzania,

Huyu kwa hiki kiherehere chake cha kisengerema hafiki October watakuwa wameshamtoa kafaraInabidi upelekwe jumba la makumbusho - hata babako unaweza mkana sababu ya uchawa wa CCM.
Kwanza kwenye msiba umeenda? - mmeua watoto wa watu kisa kujaza uwanja - mna dhambi nyie watu.