Hiyo ni kazi ya serikali na ndio man kuna bajeti ya WIZARA ya afya,na yeye huwa anachangia na kuipitisha kwa asilimia mia,sasa unapitisha bajeti kwa asilimia mia halafu vituo vyako unavigharamia kwa fedha za mfukoni,badala ya fedha za bajeti uliyopitisha kwa asilimia miaMbunge wa Chalinze Mh. Ridhiwan Kikwete akikabidhi msaada wa vitanda vya kujifungulia (5), vitanda vya wodini (20), Magodoro 20 na mashuka 50 kwa Halmashauri ya Chalinze ambavyo vitagawiwa katika vituo vya Afya 5 vilivyo katika Tarafa 5 za Halmashauri ya Chalinze .
YEYE AKIFANYA NI RUKSA ila angefanya mbunge wa upinzani ungeweza sikia wafanyakazi wa halmashauri hawakukudhuria na ambaye angehudhuria angetakiwa aandike barua,hii ndio TzMbunge wa Chalinze Mh. Ridhiwan Kikwete akikabidhi msaada wa vitanda vya kujifungulia (5), vitanda vya wodini (20), Magodoro 20 na mashuka 50 kwa Halmashauri ya Chalinze ambavyo vitagawiwa katika vituo vya Afya 5 vilivyo katika Tarafa 5 za Halmashauri ya Chalinze .
hicho ni kihoro ndugu! yaani hata mbunge kutoa msaada ktk jimbo lake unapinga!Hiyo ni kazi ya serikali na ndio man kuna bajeti ya WIZARA ya afya,na yeye huwa anachangia na kuipitisha kwa asilimia mia,sasa unapitisha bajeti kwa asilimia mia halafu vituo vyako unavigharamia kwa fedha za mfukoni,badala ya fedha za bajeti uliyopitisha kwa asilimia mia
Hivi wananchi wanahitaji msaada au wana haki ya kupata hizo Huduma?hicho ni kihoro ndugu! yaani hata mbunge kutoa msaada ktk jimbo lake unapinga!
Hujapenda kwa sababu kwa kufanya hivyo mbunge huyu ataendelea kupendwa na wapiga kura wake.
Aisee mkuu tulia ndiyo uandike maana watu ni wengi wanaofatilia humu!Hivi wananchi wanahitaji msaada au wana haki ya kupata hizo Huduma?