real G
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 5,227
- 5,287
Mbunge wa Chalinze Mh. Ridhiwan Kikwete akikabidhi msaada wa vitanda vya kujifungulia (5), vitanda vya wodini (20), Magodoro 20 na mashuka 50 kwa Halmashauri ya Chalinze ambavyo vitagawiwa katika vituo vya Afya 5 vilivyo katika Tarafa 5 za Halmashauri ya Chalinze .