Ridhiwani Jakaya Mrisho Kikwete, Mtetezi wa ajira kwa vijana

Huo ukiritimba wa T.R.A,TANAPA, B.O.T, TPDC, n.k. aidha unasababishwa na wao wenyewe kama Familia kwa sababu ya madudu wanayofanya moja kwa moja au kupitia watu wengine waliowapandikiza.

Philosofi ya NANI AMFUNGE PAKA KENGERE hapo ndipo ina apply.

Watu wanakuona kila siku mnafanya madudu, ni wapi wataanza kuwa na maadili katika utendaji?

MUNGU HUWA HAMTUPI MJA WAKE, IPO SIKU HAYA MAMBO MUNGU ATAYAWEKA KATIKA HADHARA.
 
Mbunge wa Chalinze;
Ni mbunge wa kwanza kumsikia akitetea vijana katika maswala ya ajira bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa kuweka wazi ukiritimba uliopo katika taasis na mashirika ya Umma.

"Mheshimiwa mwenyekiti, unakuta mwanafunzi amemaliza chuo, anaenda kuomba ajira anaambiwa awe na uzoevu usiopungua miaka miwili, atautoa wapi huo uzoevu? Waajirini wapate uzoevu. Kuna baadhi ya Taasis kama T. R. A kuna ukiritimba wa ajira, ajira zinatolewa kwa kujuana"

Naunga mkono mia kwa mia kwani ni kweli huu ukiritimba wa kupeana ajira kwa vimemo upo katika taasis na mashirika mengi kama vile; T.R.A, TANAPA, B.O.T, TPDC, n.k. Haya mataasis haya yamekubuu kwa uchafu huo.

Nasubiri mbunge atakayemuunga mkono Ridhiwani hata kupeleka hoja binafsi bungeni ya kuangaliwa upya mfumo wa ajira katika hizi taasis.

Mfano kule TANAPA unakuta kaajiriwa baba,mama na mtoto acha wajomba, mawifi na wengineo! Hizi taasis zimekuwa kama ni za familia! Aibu hii!

"Natoa shilingi hadi huu ukiritimba angalau upungue na naomba wananchi wenzangu waniunge mkono"
SUALA LA WIZI WA FEDHA TSH200BILS NI HATARI KWA TAIFA YAPO MAMBO YA MSINGI KAMA IFUATAVYO:
1. Singh Sethi wa PAP amesajiliwa Kenya Kama raia wa Afrika Kusini mwenye asili ya Asia
2. Singh Sethi wa PAP amesajiliwa Afrika Kusini Kama raia wa Kenya mwenye asili ya Asia
3. Singh Sethi wa PAP amesajiliwa Tanzania Kama raia wa Tanazani Mzaliwa wa Ruvuma
4. Singh Sethi alishirikiana na Geodion Moi mtoto wa Rais Mio kwa wizi wa US$600million na kuangusha serikali ya KANU
5. Singh Sethi ametajwa kushirikinana Riziwan (Albert Marwa) ndungu wa familia ya JK na kusababisha wizi wa Tshs200Bls
6. Mwanamke Mbunge wa UK alipambana sana kwenye Bunge la UK wakati wa wizi wa fedha za Rada ulifanyika na BAYE na hatimaye fedha zikarudi Tanzania. Serious Fraud ilikuja hapa na kuwadaka akina Chenge na wizi ule lakini CCM ikawalinda.
7. Leo UKAWA wanapewa document ya ukweli juu ya Wizi wa akina Werema na wametoka nje kushinikiza akina Eliakimu Maswi wakamatwe. Ukweli ni kwamba Benki ya Standard Chater ya UK imetapeliwa zaidi ya Tsh1770bls na Singh Sett na wenzake. Serious Fraud wapo hapa na kila kitu kinafahamika
8. Kumufukuza balozi wa UK ni sawa na kumufukuza nzi badala ya kuondoa Kinyesi.
9. Prof Muhongo na Lugora wanasema pesa Tshs200Bils sio za serikali ,Je pesa zisizokuwa za serikali zinawapa CCM kuiba??. Mbona Mbunge la UK walijadili pesa zetu na kuwataja akina Chenge hadi zikarejeshwa?? Huu ni upuuzi wa CCM na serikali yake

10. Kule Malawi watendaji wa Malawi wakiongozwa na Rais Joyce Banda waliiba Zaidi ya US$320 sawa na saidi ya Tshs 500bils wizi huo unaitwa CASHGACSANDAL na Ubalozi wa UK umesususia kutoa Misaada Malawi. Rais Mpya Peter Muthariaka ametangaza Kumushughurikia Kwanza Rais Banda na watu wake ndipo aangalie katiba.
Hapa Tanzania kuna wizi wa Escrow Scandal na Kikwete ameamua kuficha wizi huo na kufanya propaganda za msiba wa Mama Zitto kabwe(shida salumu) huku akijificha kwenye ugonjwa wa dengue na Ukawa!
11. Wizi wa pesa za escron ndo umefadhiri kampeni za Ridhiwani Kikwete Bagamoyo

CCM na watawala wachague Kuwatetea Watuhumiwa kwa malengo ya kuangusha serikali nzima au kuwashughurikia watuhumiwa na kuokoa serikali
 
Mbunge wa Chalinze;
Ni mbunge wa kwanza kumsikia akitetea vijana katika maswala ya ajira bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa kuweka wazi ukiritimba uliopo katika taasis na mashirika ya Umma.

"Mheshimiwa mwenyekiti, unakuta mwanafunzi amemaliza chuo, anaenda kuomba ajira anaambiwa awe na uzoevu usiopungua miaka miwili, atautoa wapi huo uzoevu? Waajirini wapate uzoevu. Kuna baadhi ya Taasis kama T. R. A kuna ukiritimba wa ajira, ajira zinatolewa kwa kujuana"

Naunga mkono mia kwa mia kwani ni kweli huu ukiritimba wa kupeana ajira kwa vimemo upo katika taasis na mashirika mengi kama vile; T.R.A, TANAPA, B.O.T, TPDC, n.k. Haya mataasis haya yamekubuu kwa uchafu huo.

Nasubiri mbunge atakayemuunga mkono Ridhiwani hata kupeleka hoja binafsi bungeni ya kuangaliwa upya mfumo wa ajira katika hizi taasis.

Mfano kule TANAPA unakuta kaajiriwa baba,mama na mtoto acha wajomba, mawifi na wengineo! Hizi taasis zimekuwa kama ni za familia! Aibu hii!

"Natoa shilingi hadi huu ukiritimba angalau upungue na naomba wananchi wenzangu waniunge mkono"

- Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni jamani, saafi sana Kamanda Mheshimiwa Mbunge wa Chalinze hatimaye vijana wamepata Kiongozi wa kuwasemea, Kidumu Chama Cha Mapinduzi!1

Le Mutuz System
 
Nani anaweza Kuvunja huo Ukiritimba?? kuu wa Nchi anaweza kabisa bila hata kwenda Bungeni
 
- Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni jamani, saafi sana Kamanda Mheshimiwa Mbunge wa Chalinze hatimaye vijana wamepata Kiongozi wa kuwasemea, Kidumu Chama Cha Mapinduzi!1 Le Mutuz System
Km hata wewe ,kutoka familia iliyowahi shika nafsi kubwa..upo Tayari kuchamba makalio mtoto wa Rais ni wazi huna dreams kubwa,ni wazi huoni njia..wala haupo tayari tafuta njia au kongoza wengine njia....Muache upumbavu basi ..Kafanya matukio mangapi hadi mumuite mtetezi wa vijana...KUONGEA KITU CHA KUTETEA HAKUMFANYI KUWA MTETEZI..km ilivyo kuchora hakukufanyi kuwa mchoraji, kunywa bia moja hakukufanyi kuwa mnywaji....tunatofautiana sana kifikra na haya matakataka ya ccm.Hembu jifunze kuwa na mahusiano ya heshima na watoto wa vigogo wenzako..sio master slave..hata akiwa boss wako si lazima awe master slave.
 
Back
Top Bottom