]Ebwana nakweli kakimbia kamera bwana namimi nimeliona hilo[/COLOR] yani cjui labda kuna lolote jambo hapo embu tuone!!!!
<br />natamani nikutukane ila nagundua tatizo lako ni brain drain ndo mana upo humu ili kupigwa msasa kichwa chako
Unajua hizi stori zenu za kitchen party ndio zinachafua jina la JF?Unajua huyu mtoto ni chizi sana ,,, anajifanya kuwa hatujui anamiliki mgodi mdogo huko Kahama ambao haujasajiliwa kisheria na Ngeleja analijua hili ndoo maana wakuu huyu dogo kaenda bungeni kusikiliza hii bajeti ya nishati na madini ili ajue jinsi ya kuiba vizuri.
Nijuavyo Ridhiwani ni mwanasheria lakini si wakili na mkutano ulokuwa Dodoma si wa wanasheria wote bali hivyo hiyo si hoja ya msingi ya yeye kuwa Dodoma labda ije nyingineAcha chuki hizo wewe, wanasheria wana mkutano wao Dodoma (akiwem Ridhwani) na baadhi wameamua kwenda kuona bunge lifanyavyo kazi, hilo nalo kosa?
Nijuavyo Ridhiwani ni mwanasheria lakini si wakili
umepatia 100%Ritz= Riz1
...Na wewe mmoja wao...kilikuleta nini hapa? dogo fisadi sasa watu wasiseme? masaburi yako!!Watu mnaacha kujadili mambo yenye maslahi kwa taifa, mnamfatilia mtu binafsi na kuspeculate motives, kweli kuna baadhi ya wana JF mnatumia Masaburi kufikiri.
kaka ina maana jamaa anatumia masaburi kufikiria -- ha ha ha ha...Na wewe mmoja wao...kilikuleta nini hapa? dogo fisadi sasa watu wasiseme? masaburi yako!!
lisemwalo lipo kama halipo......Unajua hizi stori zenu za kitchen party ndio zinachafua jina la JF?
<br />Acha chuki hizo wewe, wanasheria wana mkutano wao Dodoma (akiwem Ridhwani) na baadhi wameamua kwenda kuona bunge lifanyavyo kazi, hilo nalo kosa?