Ridhiwani apotezwa Chalinze

Ridhiwani apotezwa Chalinze

Crashwise

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
22,227
Reaction score
8,760

shuhudia namna mtoto wa mfalme, fisadi, mtoto wa dhaifu, msambazaji wa madawa ya kulevya...
 
Last edited by a moderator:
Sisi tunamjua Ridhiwani mtoto wa rais wetu mpendwa Kikwete huyo mtoto wa mfalme hatumjui hivyo hatuhusu!!!
 
AMANI itawale uchaguzi wa chalinze
tufanye kampeni za kistarabu na tulinde amani maana amani aina mbadala
 
huyu mwalimu kweli anafundisha
juzi rais shein amezindua miradi 5 ya barabara za uwakika pemba kiwango cha lami na miradi mingi ya maji kweli ukiikataa ccm na maendeleo mnapata heko wapemba kwa kuonyesha njia ndugu zetu wa tanganyika au tanzania bara
 
Nasi wa mbali tunasema na apotezwe tuu,kwani nn bana!
Mbona wa col.Gadafi wapo jela?
 
chukua like betlehem hiyo ndio fasihi andishi
yaani umemaliza kabisa
 
mwana wa dhaifu anayetaka uendeleza udhaifu wa babaake Chalinze!
 
Mkuu betlehem,kakuandikia nani hivi? Naona leo unacopy na kupaste tu hadi unabore sasa.Acha ulimbukeni.Andika vitu tofauti kulingana na hoja iliyopo
 
Huyo mtt wa mfalme kikwete hafai hata kuongoza vichaa, maana kaanza ufisadi toka utoto. Halafu hii nchi ya kifalme
 
huyu mwalimu kweli anafundisha
juzi rais shein amezindua miradi 5 ya barabara za uwakika pemba kiwango cha lami na miradi mingi ya maji kweli ukiikataa ccm na maendeleo mnapata heko wapemba kwa kuonyesha njia ndugu zetu wa tanganyika au tanzania bara

Hizo jumla kilometre ngapi?
Unaweza kusema barabara tano kumbe jumla yake haifiki nusu ya Dar mpaka Moro
 
Binadamu wote wana uwezo wa kufikiri, hata hivyo kwa makusudi au kwa sababu za kimazingira; wakati fulani mtu anaweza kutofikiri.Ikiwa kuna watu zaidi ya wawili mahali na wote wanafikiri, kimsingi hawawezi kukubaliana kwenye kila kitu na hiyo ni kanuni ya kimaumbile.Unapoona kuna watu zaidi ya wawili na wanakubaliana kwa kila kitu na kila wakati; basi ujue kwamba lazima kutakuwa na baadhi ambao wameamua kuwaachia wenzao wawasaidie kufikiri kwa niaba yao.Katika mazingira ya kutofautiana fikra katika baadhi ya mambo, na kukubaliana katika baadhi ya mambo, maendeleo huweza kupatikana.Katika mazingira ya kukubaliana kwenye kila kitu, maendeleo hayawezi kupatikana.

Pamoja na kuwa kila mtu huamini kwamba mawazo na mitizamo yake ni sahihi!, ukweli ni kwamba wakati fulani tunakuwa hatuko sahihi, au hata tunapokuwa sahihi, kunakuwa kuna watu wengine tunao wajua au tusiowajua ambao wanakuwa wako sahihi zaidi.Kwa sababu hiyo basi;Ni vyema kuwa 'a bit flexible!' ili kuruhusu akili zetu kuingiza hewa na kupokea maarifa na mawazo mapya kila inapobidi.

Kama tutaamua kuwa 'Rigid' kwenye kila kitu na kila wakati, bongo zetu haziwezi kunasa ujuzi mpya kutoka kwa watu wengine na hivyo fikra zetu zitakuwa hazina uwezo wa kustawi na mwishowe tutakuwa na mawazo yale yale wakati wote hata kama watu na mazingira yanabadilika. Tukiichagua njia hii, wakati mwingi tutajikuta tukiwa katika hali ya 'Confusion' hasa katika zama hizi ambazo watu wengi wamechagua kuwa waliberali.

kama wakati fulani huwa kuna watu hasa wasomi ambao huwa wanatuchanganya kwa hoja zao, naamini inakuwa tunachanganyikiwa kwa bahati mbaya tu! lakini sidhani kama wanakuwa na nia ya kutuchanganya.Nadhani tunachoweza kufanya; ni kuing'amua na kuitia akilini, misingi niliyoisemea hapo juu na kisha kuifanyia kazi.Tukiweza kufanya hivyo, kidogo kidogo tutakuwa tunabadili utaratibu wetu wa kufikiri na kufikiri katika utaratibu sawia.Hata hivyo kuizingatia na kuifanyia kazi misingi hii, inabakia kuwa ni suala la utashi wa mtu.
si ungeanzisha uzi wako....out of topic
tjis is copy n paste
 
Huyu mwuza madawa ya kulevya akishinda Chalinze kwakweli nitawashangaa wapiga kura. Dogo mabilioni yote anayoyakusanya kwenye unga hata barabara moja hajaweza kuijenga, anawaona wanaChalinze kitega uchumi ..... upumbavu mwanzo mwisho
 
Chadema wanahangaika tu wiki ijayo watakuja na lawama kuwa taftari alijaboreshwa.
 
Back
Top Bottom