USHAURI WANGU KWA JOHN MNYIKA:
Nikiwa kama mkaazi wa Mbezi kimara ndani ya jimbo la John Mnyika, naona kuna matatizo mengi sana ambayo mengine yanaweza kutatuliwa na nguvu za mbunge wetu kwa nafasi yake. Maji ni taabu sana, katika eneo letu maji dumu la lita 2o hununuliwa na wanachi wa jimbo la Ubungo kwa Ths. 1000-1500, bei hizi pia unazikuta maeneo ya riverside ambako pia ni jimbo la ubungo, barabara mbovu, vibaka wa kutosha, vijana hawana ajira. Pia natambua na bado tunaikumbuka kampeni yake iliyokuwa imeongozwa na msemo wake wa "AMUA" yaani-Afya, Maji, Umeme, Ajira, hizi zilikuwa ahadi za Mnyika 2010. Hapa ktk jimbo la ubungo hakuna lililofanyiwa kazi na haya mnyika aliyahidi.
Nilitarajia kumskia mnyika ndani ya bunge anazungumzia mambo haya, badala yake anaenda kuzungumza mambo ambayo kwa uhakika hayagusi matatizo na ahadi zile alizokuwa anawahaidi wanaUbungo.
BREAKING NEWS ufisadi mwingine wa Ridhiwani Kikwete anunua vile viwanja vya Temeke ambavyo vilikuwa
vinatangazwa sana na Manispaa amenunua viwanja 40 kwa Tshs
4,000,000/= HAKI YA MTANZANIA WA KAWAIDA IPO
WAPI?
mwacheni tu huyo dogo tutakuja mfanyia mbaya kama watoto gaddaff:yo::yo:
Mnyika atakubaka acha kumfatafatahawa watu wamekosa ya kufanya hivyo kwao , kusema hovyo ndiyo jambo lililobaki
BREAKING NEWS ufisadi mwingine wa Ridhiwani Kikwete anunua vile viwanja vya Temeke ambavyo vilikuwa
vinatangazwa sana na Manispaa amenunua viwanja 40 kwa Tshs
4,000,000/= HAKI YA MTANZANIA WA KAWAIDA IPO
WAPI?
familia hii inatamaa ya mali sana muda si mrefu alinunua eneo la mchicha pale tazara nakuweka fensi lkn nimeona ile fensi imebomolewa nafkiri anatamani atununue watanzania atufuge kama mbuzi sijaelewa hivi ni ulimbukeni wa fedha?ipo siku wananchi watauliza zi wapi mali zetu ?
tumeyaona nchi za wenzetu,siku si nyingi watanzania waoga uoga utawatoka.
kuna mtu alileta habari ya MWAMUNYANGE KUPEWA SUMU....kuna mwenye taarifa zake???
Akili za tope,ubongo umeliwa na funza. Jisome tena. Ovyo kabisa. Umeingiaje kwenye udini? CDM wapo wa dini zote na waso dini. Sheikh Yahya na wafuasi wake alikuwa anapambana na nani,je UAMSHO Zenji? Awamu ya 4 tublichonganishwa sana.Hivi ukiwa chadema ni lazima uwe na roho ya kichawi?roho yenye kutu na chuki? Na hasa kwa waislamu?