Ridhiwan Kikwete na Steven Masele ndani ya Shinyanga

Anaemlipa mpida zumari.....

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Wana JF habari za jumapili. Leo hii katika ukumbi wa CCM NSSF kuna kongamano la vijana wa vyuo lililoitishwa na CCM wageni ni Ritz na Masele nimejisogeza kuwapa updates stay tuned....

na hivi ndivyo walivyokuwa wakilipwa posho wanafunzi wa Muccob tawi la Shinyanga mara baada ya kusomba ili kuhudhuria mkutano wa mbunge.Kidumu chama Chama Cha Mapinduzi

DSC04435.JPG
 
ritz huko sio bagamoyo watu wameelimika kawaelimishe wakwere kwanza uwaambie kaskazini ni sehemu ya tanzania na pesa huwa haishindi ukweli hata siku moja
pesa ndo kila kitu,ndio inarun dunia kama ulikua haujui,hata obama kuna watu kama ukoo wa Rockfeller na Rothchild hawaambii kitu,wao ndo wanapanga ajenda hii dunia iende vipi ukijifanya huelewi wanakupoteza kama John F kenedy.
 
Nimesikia ya kwamba ma-swahiba hao wawili walikua tu na 'Mkutano wa Ndani' nyumbani kwake na Ndg Masele kule Shinyanga na kwamba haukua mkutano wa hadhara; ndio maana hadi hivi sasa hakuna hata picha moja humu.
 
Mkuu hivi siyo vyuo ni karakana za ufundi! Vijana waliopo kwenye karakana hizo wale disadvantaged group (std seven leavers na form iv failures kutoka shule za kata) na wenye uwezo mdogo wa kupambanua mambo, ndo maana akina Maselle wamethubutu kwenda huko. Maselle hawezi kutia maguu kwenye vyuo vyenye watu wenye caliber ya juu kama universities. By the way hiyo ziara ya Ridhiwan na Maselle ni ya kiserikali, kichama, kibiashara? Au ni safari binafsi wakaamua kujumuika na vijana wa Shinyanga? Ufafanuzi tafadhali.

Bora umenisaidia kuuliza!
 
Nimesikia ya kwamba ma-swahiba hao wawili walikua tu na 'Mkutano wa Ndani' nyumbani kwake na Ndg Masele kule Shinyanga na kwamba haukua mkutano wa hadhara; ndio maana hadi hivi sasa hakuna hata picha moja humu.

Nilikuwepo kwenye mkutano huu,walifanya kikao cha ndani NSSF then viwanja vya mahakama
 
Shinyanga kuna chuo kikuu kishiriki cha cha ushirika tawi la shinyanga kipo kizumbi kwa wanaopafahamu mwaka huu kinajitegemea, pia kuna chuo ch veta, bila kusahau international school kubwa kuliko zote africa inaitwa savana international school ambayo ni ya baba liz1 ipo ugweto.
 
Back
Top Bottom