Da! hili ni balaa, watu 300 kupoteza kazi!!!!!!!!!!!!!So far what i know ni kuwa Vodacom yote including ile ya South Africa imenunuliwa na Vodafone ya Uingereza kuna mshikaji wangu anayefanya kazi huko amabaye naye ameponea chupuchupu kwenye hii ridandas wao wanasema wanafanya cost cutting hapo ndio sijaelewa nimeambiwa almost si chini ya watu 300 wamepigwa chini, vitengo vingine vimekuwa out sourced kwa kampuni inayoitwa EURO LINK maana yake kama ulikuwa unachukua mshahara wa laki saba jiandae kupata laki nne, wanakupa options mbili kwanza unapewa notice ya miezi mitatu unapewa mafao yako usepe au unambiwa kama utataka kubaki wanakupa mwezi mmoja wa kuangalia utendaji wako wa kazi kama hawaridhishwi na wewe wanakupiga chini na benefits zingine unakosa kwahiyo ni wewe mwenyewe kuchagua which suites you the best
So far what i know ni kuwa Vodacom yote including ile ya South Africa imenunuliwa na Vodafone ya Uingereza kuna mshikaji wangu anayefanya kazi huko amabaye naye ameponea chupuchupu kwenye hii ridandas wao wanasema wanafanya cost cutting hapo ndio sijaelewa nimeambiwa almost si chini ya watu 300 wamepigwa chini, vitengo vingine vimekuwa out sourced kwa kampuni inayoitwa EURO LINK maana yake kama ulikuwa unachukua mshahara wa laki saba jiandae kupata laki nne, wanakupa options mbili kwanza unapewa notice ya miezi mitatu unapewa mafao yako usepe au unambiwa kama utataka kubaki wanakupa mwezi mmoja wa kuangalia utendaji wako wa kazi kama hawaridhishwi na wewe wanakupiga chini na benefits zingine unakosa kwahiyo ni wewe mwenyewe kuchagua which suites you the best
Wamefanya outsourcing idara yote ya customer care kwenda ERO LINK, wasipoangalia hii inaweza kuwagharimu sababu hiki ni kitengo muhimu sana...
Baada ya watu 40 kupewa barua zao inasemekana kuna barua nyiningine 60 ziko mbioni..je voda awaitaji kweli hawa watu ama wameanza kuishiwa na kushindwa kuwalipa ama kuna ubadhirifu umepita na kuimaliza kampuni...wazee wa jikoni embu tusaidieni nini kinaendelea huko??
This is More than serious...kuna mwenye Taarufa upande wa Technical staff hali ipoje??? Hapa Namaanisha Engineers????
Bora sisi tulioamua kufanya kazi sirikalini ingawa mshahara TGS ni mdogo lakini kuna security hadi tuzeeke. wenzetu walikimbilia mishahara mikubwa huko sasa unapata ridandas kijana mdogo kbs...duh.
Kwa engineers nafikiri there in safe hands kwasababu they are still needed, umenikumbusha at the one of the ISP's which i was working the MD aliamka asubuhi and he decided to fire the engineer what the engineer did was to sabotage the network and all the clients were down ilibidi MD ampigie simu ili aje wakae chini waongee wayamalize.