Ridandas ya vodacom nani anafwata??

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,462
21,334
Baada ya watu 40 kupewa barua zao inasemekana kuna barua nyiningine 60 ziko mbioni..je voda awaitaji kweli hawa watu ama wameanza kuishiwa na kushindwa kuwalipa ama kuna ubadhirifu umepita na kuimaliza kampuni...wazee wa jikoni embu tusaidieni nini kinaendelea huko??
 
So far what i know ni kuwa Vodacom yote including ile ya South Africa imenunuliwa na Vodafone ya Uingereza kuna mshikaji wangu anayefanya kazi huko amabaye naye ameponea chupuchupu kwenye hii ridandas wao wanasema wanafanya cost cutting hapo ndio sijaelewa nimeambiwa almost si chini ya watu 300 wamepigwa chini, vitengo vingine vimekuwa out sourced kwa kampuni inayoitwa EURO LINK maana yake kama ulikuwa unachukua mshahara wa laki saba jiandae kupata laki nne, wanakupa options mbili kwanza unapewa notice ya miezi mitatu unapewa mafao yako usepe au unambiwa kama utataka kubaki wanakupa mwezi mmoja wa kuangalia utendaji wako wa kazi kama hawaridhishwi na wewe wanakupiga chini na benefits zingine unakosa kwahiyo ni wewe mwenyewe kuchagua which suites you the best
 
Da! hili ni balaa, watu 300 kupoteza kazi!!!!!!!!!!!!!
 
Wamefanya outsourcing idara yote ya customer care kwenda ERO LINK, wasipoangalia hii inaweza kuwagharimu sababu hiki ni kitengo muhimu sana...
 
Bora sisi tulioamua kufanya kazi sirikalini ingawa mshahara TGS ni mdogo lakini kuna security hadi tuzeeke. wenzetu walikimbilia mishahara mikubwa huko sasa unapata ridandas kijana mdogo kbs...duh.
 
Mkuu hizi kampuni za simu zione hivi hivi tu ukiwa nje lakini sio vile ambavyo wengi wao wanadhani
 
Katika kampuni za simu ambayo nilikuwa naiamini ni voda tangu enzi za twanga pepeta lakini kama mwenye mali ameamua kuiuza hakuna jinsi Poleni mliopunguzwa kazini Angalieni mahali pengine
 
Pamoja na kwamba voda wanafanya vizuri sokoni kwa kuweza kuwa na watumiaji wengi lakini gharama yake ni kubwa sana. Ushindani uko juu sana kutoka mitandao mingine kiasi kwamba kwa vyovyote vile faida itakuwa inapungua. Ili ushindane vizuri na kupata faida unayodhamiria mojawapo ya vitu vya kuangalia ni kupunguza gharama za uendeshaji, na hapa ndio suala la kupunguza wafanyakazi linapoingia. Hata kama watakuwa wamenunuliwa, kwa hali ya ushindani wa sasa kupunguza wafanyakazi hakuepukiki na mitandao mingine itakuwa iko njiani kufanya hivyo hivyo.
 
bad news sana kwa new graduates lakini ndio maisha na gharama ya utandawazi... dawa kwa wadogo zangu na wenzangu ni kufuata lile shairi bora lkisemalo "kama mnataka mali, mtayapata shambani"

lets switch mode
 
Hizo tetesi ni za kweli kabisa, tena hao waliopewa barua washkuru.
Mpango ulikuwa hivi...WALIONUNUA VODACOM WALITOA ORDER YA KUCHUKUA ROBO TU YA STAFF WOTE WALIOPO MPAKA SASA. Ila kilichojiri ni sheria za kazi kuwabana waajiri ambapo wengi wametafutiwa makosa ya ajabu na kutolewa mjengoni.
Kwa mfano, kuchelewa kazini-UNATUPWA. Kuendesha gari ya vodacom ukiwa unaongea na simu na ukiripotiwa na yeyote aliyekuona-UNATUPWA. Ukichelewa kutoa reports kwa superior wako na ukabainika bila excuse-UNATUPWA. Upande wa customer care ndo usiseme...ukimjibu vibaya mteja na ukasikika-UNATUPWA.
Ndo hali ya wenzetu haooooooo
 
mh tutafika kweli baada ya kutuchuna kwa miaka 10 sasa waanawabwaga ndugu zetu
 
Poleni sana walioatwa ns hayo ila hali ya kupunguza wafanyakazi ni dunia nzima. Cost cutting
 
Poleni mlio punguzwa kazi.
Jipeni moyo kwani kama sifa,tabia na uwezo mnao,mtapata kazi ama kujiajiri au kuajiriwa.
Mlango mmoja ukifungwa,mlango na madirisha mengine hufunguka.
 
Baada ya watu 40 kupewa barua zao inasemekana kuna barua nyiningine 60 ziko mbioni..je voda awaitaji kweli hawa watu ama wameanza kuishiwa na kushindwa kuwalipa ama kuna ubadhirifu umepita na kuimaliza kampuni...wazee wa jikoni embu tusaidieni nini kinaendelea huko??

Inapokuja suala la ushindani faida hupungua na hivyo kulazimu kupunguza matumizo. Layoff ni strategy nzuri esp. Kwenye iddle labour.
 
This is More than serious...kuna mwenye Taarufa upande wa Technical staff hali ipoje??? Hapa Namaanisha Engineers????
 
Kwa engineers nafikiri there in safe hands kwasababu they are still needed, umenikumbusha at the one of the ISP's which i was working the MD aliamka asubuhi and he decided to fire the engineer what the engineer did was to sabotage the network and all the clients were down ilibidi MD ampigie simu ili aje wakae chini waongee wayamalize.
 
Bora sisi tulioamua kufanya kazi sirikalini ingawa mshahara TGS ni mdogo lakini kuna security hadi tuzeeke. wenzetu walikimbilia mishahara mikubwa huko sasa unapata ridandas kijana mdogo kbs...duh.

.....very strange comment!!!!!
 
Kwa engineers nafikiri there in safe hands kwasababu they are still needed, umenikumbusha at the one of the ISP's which i was working the MD aliamka asubuhi and he decided to fire the engineer what the engineer did was to sabotage the network and all the clients were down ilibidi MD ampigie simu ili aje wakae chini waongee wayamalize.

OOOH KALAGABAHOO MZELU! :teeth:
hizo department ya Engineers imeshatupiwa kwa jamaa wengine makaburu wa SIEMENS.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom