Ambitious
JF-Expert Member
- Dec 26, 2011
- 2,144
- 875
Taratibu dogo.
Brother sikumaanisha wewe naona umekuja na all guns loaded.
Taratibu dogo.
Anyway kwa faida ya wale wasiojuwa Grand Canyon ni nini, now i Abort my missile.Brother sikumaanisha wewe naona umekuja na all guns loaded.
Nenda usa halafu sema nilidhani WHITE HOUSE ni GUEST HOUSE utakiona cha mtema kuni
Anyway kwa faida ya wale wasiojuwa Grand Canyon ni nini, now i Abort my missile.
Kwanini watu wanafikiria jamaa katudharau badala kufikiria kwamba jamaa hajui tu kutokana na ukweli wa kwamba wengi wao hawajui mambo mengi ya kimataifa.
Wao wanajua kuhusu nchi yao tu na wengine pia hawajui mambo mengi kuhusu nchi yao.
Na ndio ukweli wenyewe hawana mda na vitu vingine visivo wahusu so mda mwingi na mambo ya america na sio zarau kwa wabongo
Maybach music forever.
Maybach, maybach f...ck! Unakaa kusifia utadhani unalipwa hata dola moja! Kwenda zako!
askari magerezahapo ndio ujue polisi ni kazi ya ajabu, the guy was a cop
sishangai wamarekani wengi wana uelewa mdogo sana wa mambo nje ya mipaka yao
ni kweli mkuu yaani kuna vitu hawivijui mpaka huwezi aminsishangai, ofis kwetu tunao wamarekan wanaokuja kufanya kaz za kujitolea! truly, hawajui mambo meng yaliyo nje ya US, na hawajuti kutokujua!
ni kweli mkuu yaani kuna vitu hawivijui mpaka huwezi amin
duuuh.....hii kalimfano, kuna jamaa tunaye anatoka detroit yeye alidhan tz ni kisiwa ktk indian ocean na capital city ni zanzibar.
mfano, kuna jamaa tunaye anatoka detroit yeye alidhan tz ni kisiwa ktk indian ocean na capital city ni zanzibar.
Anyway kwa faida ya wale wasiojuwa Grand Canyon ni nini, now i Abort my missile.