Mimi ni mpenzi mkubwa miziki ya Magharibi, na huwa napenda kufuatilia historia za hao wasanii. So katika kuchimbachimba nikajua kwamba Trina aliwahi kuwa pornstar.
Trina she is one of the dope mcs na kitu ninachokipenda, alikuwa anamuheshimu Rozay since wayback. 2002 Trina alikuwa hottie sana na Rozay alikuwa hajatoka kabisa, kipindi hicho Rozay ni underground rapper na mwandishi wa Muziki.