Rick Perry vs barack obama

Rick Perry vs barack obama

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,082
Reaction score
2,355
Natabiri mwakani uchaguz wa marekani mpambano utakuwa kati ya hao wa2 wawil,ikiwa ndo hvyo obama atakua kwenye wkt mgumu sana kurudi white house.
 
mwakani uchumi utakuwa better kuliko mwaka huu
perry haingii ikulu labda michele bachrach
 
mwakani uchumi utakuwa better kuliko mwaka huu<br />
perry haingii ikulu labda michele bachrach
<br />
<br />
kwa kipi kikubwa atakacho kifanya huyu obama?
 
Kweli namsikitikia saba Barack ni kichwa katika vichwa lakini he is working for his downfall
 
Obama's plans and promises failed that made hard time for him to return back in white house in next election-economy crisis and health plan are among the challenges faced him
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom