Sina hakika sana kama Sitta alihusika kwasababu mimi naona kama angehusika asingekubali iundwe TUME, labda kama wakati huo walikuwa wameishakorofishana, maana Sitta anamjuwa Mwakiembe, kwa hiyo asingekubali iundwe kama na yeye alikuwemo kwenye hilo zanga.
Ukiniuliza mimi huwa nasema kila siku hawa viongozi wetu woteeeeeeee wanafa kupigwa RISASI halafu tuanze moja, maana wanatuvuruga na kutudanganya danganya tuu waote ni MAFISADI KWA NJIA TOFAUTI
wizi mtupu, wote wezi hakuna wa kunywea maji.