Senzota,
Asante kwa maoni yako. Vuta subira hoja hii iingie bungeni. Kwa sasa bado sijawasilisha hoja na maelezo ya hoja. Nilichowasilisha ni taarifa ya hoja tu. Lakini ukitaka kufahamu msimamo wangu kuhusu suala hili unaweza ukarejea tu makala yangu ambayo niliiandika mwaka 2009; miaka kadhaa iliyopita kuhusu suala hili. Nakushauri, uisome mwanzo mpaka mwisho halafu urudi tena kuchangia kama bado maoni yako yatakuwa ni haya haya: JOHN MNYIKA: Richmond, Dowans and Operesheni Safisha Mafisadi
JJ
mi nilidhani utapeleka hoja binafsi kuhusu matatizo ye2 ya maji UBUNGO,unang'ang'ania richmond,2015 itakupasa u2ambie umelifanyia nini jimbo le2.
mi nilidhani utapeleka hoja binafsi kuhusu matatizo ye2 ya maji UBUNGO,unang'ang'ania richmond,2015 itakupasa u2ambie umelifanyia nini jimbo le2.
Asante kwa maoni. Hoja Binafsi ya masuala ya maji Ubungo nilishapeleka, nafasi ya kuwasilisha haikutolewa lakini nilipenyeza hoja husika kwa njia nyingine na hatua zikaanza kuchukuliwa. Na naendelea kufuatilia masuala ya maji kama ambavyo nafuatilia pia mambo mengine niliyotumwa na wananchi wa Ubungo. Hili la Richmond nalo ni la jimbo la Ubungo, mitambo yenyewe ilikuwa pale Ubungo kampuni iliyorithi ya Dowans mitambo yake iko Ubungo ambayo ndiyo sasa iko chini ya Symbions. Aidha, matatizo ya umeme kuanzia gharama mpaka upatikanaji wake yanawahusu pia wananchi wa Ubungo. Kabla ya kuja bungeni nilikuwa na mkutano na wananchi kwenye mitaa mbalimbali ya kata ya Kwembe yote niliyokwenda mpaka mtaa wa King'azi wananchi wameeleza kuhusu kero ya umeme na kutaka kwenye hoja hii ya richmond niweke mkazo kuhakikisha masuala hayo yanashughulikiwa. Wewe uko kata gani?

John Mnyika, vipi, toka mlipopewa juisi ikulu, mmeacha kususasusa?
Mujuni, hilo ndio dodoki la uhakika na maji ni JIK iliyochanganywa na parazon. Baada ya hapo EL atang'ara kama theluji, mchana atamulika kama jua na usiku atangaa kama mwezi huku akimeremeta kama nyota!.
John Mnyika, vipi, toka mlipopewa juisi ikulu, mmeacha kususasusa?
Na mnyika ndio atakua anajinyonga kisiasa hapa,ndio maana kila wakati mimi huwa namuona zitto kabwe miongoni mwa hawa vijana ni kijana mwenye maarifa ya hali ya juu sana katika kufanya siasa,zitto ni mtu wa principle na huwa hana rafiki wa moja kwa moja,ndio maana mafisadi wanashindwa kumtwisha hoja kama hizi,wanajua hawezi kukubali hasa ndani ya bunge,anaweza kuwasaidia pengine tena kwa wakati fulani tu then kila mtu ashike hamsini zake,huwa hataki kujuana zaidi.Suala la Richmond kurudi bungeni, naliona kwa mtazamo tofauti kidogo.
Kwanza imelenga kumsafisha EL, Kwasababu zipo tetesi kuwa toka awali mama Makinda aliposhawishiwa na kundi la EL kugombea uspika, nia ilikuwa ni kumpata mtu atakayeirudisha Richmond bungeni ili sitta , mwakiyembe na kundi lao waonekane walichemsha ktk kulitia taifa hasara, kuleta migogoro isiyoisha ndani ya chama na serikali n.k.
Pili nachelea kusema kuwa Mnyika katumwa!!, ama kwakujua au kwakutokujua. nitaeleza.
Ikiwa katumwa akiwa anajua. Hii huenda ni dhamira ya chama chake (chadema). Kuwa, kimemtuma apeleke hoja hiyo ya Richmond bungeni ili EL asafishwe ili chadema ijihakikishie ushindi 2015 endapo ccm itampitisha El, kwakuwa wamekuwa wakiamini kuwa nguvu ya El kwa Umama ni ndogo ukilinganisha na nguvu ya cdm.
Pia upo uwezekano wa mnyika kutumwa bila ya yeye (mnyika) kujijua kwamba katumwa. El ni mtu anayefanya siasa za kiwango cha juu sana, ana mtandao mpana sana vijana kwa wazee, ndani ya chama chake na ndani ya vyama vya ushindani (upinzani), hivyo ni rahisi hoja hii ya Richmond kufikishwa kwa mnyika kupitia kwa marafiki zake (mnyika) au hata yeye mwenyewe kwa namna moja au nyingine bila Mnyika kulitambua hilo.
Naamini hoja hii ya Richmond kurudishwa bungeni, haikosi mkono wa mafisadi. Naamini hoja hii ilifikishwa kwa Mnyika bila ya yeye kujua, akidhani hoja imeletwa na wazalendo wenzake. Lakini yote kheri coz it is just a political strategy for both political party!!.
John Mnyika, vipi, toka mlipopewa juisi ikulu, mmeacha kususasusa?
Mimi binafsi naamini na nitaendelea kuamini kuwa Lowassa si mhusika mkuu wa sakata la Richmond! Naamini na nitaendelea kuamini kuwa JK ndiye aliyepaswa kuwajibishwa katika hili sakata. Naombeni msinijibu, je Sitta na Mwakyembe hawakuwa na chuki binafsi na Lowassa kuhusu uwaziri mkuu?
Na mnyika ndio atakua anajinyonga kisiasa hapa,ndio maana kila wakati mimi huwa namuona zitto kabwe miongoni mwa hawa vijana ni kijana mwenye maarifa ya hali ya juu sana katika kufanya siasa,zitto ni mtu wa principle na huwa hana rafiki wa moja kwa moja,ndio maana mafisadi wanashindwa kumtwisha hoja kama hizi,wanajua hawezi kukubali hasa ndani ya bunge,anaweza kuwasaidia pengine tena kwa wakati fulani tu then kila mtu ashike hamsini zake,huwa hataki kujuana zaidi.
Japo umeomba usijibiwe ila utanisamehe kwa kukujibu manake najua wajua mengi ila ya 6 na Uwaziri Mkuu asiyejua kuwa 6 baada ya kukosa UPM aliomba apewe magari ya msafara na ulinzi kama wa PM na kujengewa ofisi kwao ya Spika nani asiyejua kuwa
EL alimtaka azunguke ktk Nchi zote za Common wealth na kama atakuta Spika mwenye mahitaji kama hayo anayoyataka 6 basi Serikali ingemtimizia haja yake baada ya kuona hayo kimbembe ndo kikaanza hapo kati ya hao wa2! Haya mambo bana tuache tu!
Nikuombe radhi kwa kukujibu MNYANYIZI hisia wakati mwingine ni tatizo
sana sana itatufanya tuwajue zaidi wachafu wenzake lowassa akiwemo jk kama kweli anahusika husika,lakini bahati mbaya sana lowassa ataendelea kuwa mhanga kwa kuwa matarajio yake ya kisiasa yatayeyuka wakati jk hana tena cha kupoteza kwa kuwa kama kiti cha urais atakuwa keshakikalia na unenyekiti wa ccm pia keshaukalia,lowassa ndio mwenye ndoto na viti hivyo,itakua imekula kwake,utoto wa mjini ndio raha yake hapo,si unajua monduli mbali sana na dar!Mh Mnyika pamoja na yasemwayo lakini siamini kua hiyo hoja ikiibuliwa bungeni EL atapona kwan hata kwenye vikao vyao alikiri mwenyew na kumhusisha pia mkuu wa site. sasa kwa sababu linagusa maslah ya watanzania wengi na tumechoka sana, moja kwa moja huwez kutumwa na mafisadi kupeleka hoja kama hiyo kwa lengo la kuwasafisha kwan hoja yenyewe ina uchafu mwing so haiwez kumsafisha m2
Uvivu wa kusoma historia!Wewe na huyo jamaa yako mnachanganya mambo,ngoja niwaulize mambo madogo nyie vijana,hivi baada ya rais kupatikana pamoja na wabunge kupatikana ni nani anaanza kupatikana kati ya waziri mkuu na spika wa bunge?je samuel sitta alitaka akalie kiti cha uspika na uwaziri mkuu at the same time?is it possible kwa akili ya kawaida tu?mbona mnajiita great thinker lakini kufikiri kwenyewe hamtaki?
Sitta angekua ana nia na uwaziri mkuu asingepoteza muda wake kulipia milioni moja ya fomu pale ccm makao makuu kwa ajili ya kugombea uspika,angemuacha mzee msekwa apambane na wengine waliojitokeza.Msikubali propaganda hii ya kitoto inayopikwa na lowassa baada ya kujiuzulu uwaziri kwa "hiari" yake.
Aliwajibika kutokana na nafasi yake kisiasa ambayo kitaalam huwa tunaita political responsibility. Una lingine?kwani lowassa aliwajibishwa na nani?na jk,sitta au kamati ya mwakyembe?naomba unijibu wewe mwenyewe maana una kawaida ya kuingia mitini.