Richest man in babylon

dudulayuyu

New Member
Sep 20, 2021
4
14
Habari ndugu natumai ni wazima ,nina shida ya kitabu tajwa hapo juu hasa tafsiri yake ya kiswahili ,kulikua na uzi wa kitabu hiki mwenye link aniwekee hapa
 
Kama upo dasilamu pitia mitaa ya Kinondoni pale Biafra kuna mzee kando ya barabara anauza vitabu, niliwahi kukinunua kwake kwa 10,000/- tu.

Kama unataka soft copy au kilichotafsiriwa kuna uzi nimekutagi.
 
Nami naomba unitagie huo Uzi mkuu
 
Kama upo dasilamu pitia mitaa ya Kinondoni pale Biafra kuna mzee kando ya barabara anauza vitabu, niliwahi kukinunua kwake kwa 10,000/- tu.

Kama unataka soft copy au kilichotafsiriwa kuna uzi nimekutagi.
Ningependa unitagie Uzi hapa maana sipokei notification kwenye app
 
Mcheki huyu jamaa whatsapp. 0759522257

Pia kuna hizi softcopies.

Kwa Tsh 2,000 hadi 4,000 utapata softcopies za vitabu hivi. Whatsapp namba 0759522257. Pia kuna bonasi ya vitabu kama nane. Hardcopy ipo ya Tajiri wa Babeli(12,000). List ya vitabu vyote.

ORODHA YA VITABU NA BEI...

Copied from Lycaon pictus.
 
Shukrani
 
Mimi pia wakuu natafuta sana kitabu cha "secret powers of plants" kama kuna mwenye soft copy au wapi naweza kukipata hapa bongo nimekiona Amazon ila mlolongo ni mrefu plus mdororo wa uchumi nikaachana nao natanguliza shukran
 
Back
Top Bottom