Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,569
- Thread starter
- #21
KwaniniMkuu wanawake ka ww ndi mnauliwa sikuiz na waume zenu
Navyopendwa hata kibao sijawah pigwa
KwaniniMkuu wanawake ka ww ndi mnauliwa sikuiz na waume zenu
Ona alivyopungua ila upendo muhimu na mkewe alikuja na tambo alidhani pesa zile nyingi snaa na yale matanuziiRich ametoka from hero to zero riliiiii kwiki... last time nilimuona pale kwenye Catalunya yale mpya
Hakuzitumia vyemaAlikuwa na ukwasi wa kutisha
Tatizo alikua mpigaji. Mke sidhanj kama anaweza kuwa loyal tena.Ona alivyopungua ila upendo muhimu na mkewe alikuja na tambo alidhani pesa zile nyingi snaa na yale matanuzii
KwaniniTatizo alikua mpigaji. Mke sidhanj kama anaweza kuwa loyal tena.
Kipindi anaolewa na Richard alikuaa na na sana. Cynthia hawez vumilia shidaKwanini
Pia si alikuwa mdangaji itakuwa katulia,au katulia kinafiki tuKipindi anaolewa na Richard alikuaa na na sana. Cynthia hawez vumilia shida