Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,607
- 27,607
Mama Sabrina leo umeniangushaAnaemkumbuka huyu jamaa jamani alitesa enzi zile anatua bongo na migari mikali mikaliii ,alikuwa na body zurii ,sasa hivi sijui anafanya nini bongo,ila pesa makaratasi nampa heko pia mkewe kwa kua na mumewe mpaka leo maana waanawake wengine wangekimbia baada ya pesa kukata
Asingekuwa na uroho wa pesa sasa hivi wangekuwa zao kiwanja badoView attachment 798936
Niliwahi kukubeba liniMama Sabrina leo umeniangusha
Kila siku wanibebaNiliwahi kukubeba lini
Polee mpenzi amka nikubebeKila siku wanibeba
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Polee mpenzi amka nikubebe
Ndiyoo nani, Mama Belle...???Mama Sabrina leo umeniangusha
Kuna uzi wake jf celebrities alikua na magari hayo sijui yapooAlifanya harusi kubwa sana
Usalitua bongo kutokea sayari gani Mama Sab!?
Alitoka kwa Trump na madola mengi mengi tu. lakini huko ameharibu hawezi kurudialitua bongo kutokea sayari gani Mama Sab!?
Wanakuja madada wa mjini watupe info zakeAnaemkumbuka huyu jamaa jamani alitesa enzi zile anatua bongo na migari mikali mikaliii ,alikuwa na body zurii ,sasa hivi sijui anafanya nini bongo,ila pesa makaratasi nampa heko pia mkewe kwa kua na mumewe mpaka leo maana waanawake wengine wangekimbia baada ya pesa kukata
Asingekuwa na uroho wa pesa sasa hivi wangekuwa zao kiwanja badoView attachment 798936
Alikuwa na ukwasi wa kutishaKuna uzi wake jf celebrities alikua na magari hayo sijui yapoo
AiseeNiliwahi kukubeba lini
Mkuu wanawake ka ww ndi mnauliwa sikuiz na waume zenuNiliwahi kukubeba lini
alaa kumbe, hongera zakeAlitoka kwa Trump na madola mengi mengi tu. lakini huko ameharibu hawezi kurudi