Rich Mavoko wa jana na leo!

Rich Mavoko wa jana na leo!

Mmh hadi aibu. Nilidhani wanawake pekee ndio wenye kasumba ya kujichubua kumbe hata wanaume. Binafsi nimemdharau sana huyo Rich mavoko.
 
attachment.php
 
Kwa watanzania tulivyo sio ajabu huyu jamaa akakosa tuzo za mwaka huu kisa kujichubua!
 
mbona alikuwa ana rangi nzuri kuliko io mpya,
limbukeni!
 
Kuna moja iliwekwa humu ya Chidi Benz vs Chidi Vitz :smile-big::smile-big::smile-big:
 
Back
Top Bottom