Ricardo Momo: Yanga wana sababu za msingi kugomea mechi

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
24,609
Reaction score
43,886
"Kwa mfano Nikikuuliza Kosa la Yanga ni Lipi utanijibu Nini? wanacholalamikia Yanga kipo

Katika sakata Hili naona kabisa kuna kubebana Siwezi kuficha, Simba walitoa Taarifa Usiku wa Manane Kugomea Mchezo tukaona asubuhi yake Bodi ya Ligi wakaja wakaahirisha Mchezo Bila Sababu za msingi.

Hawa ambao waliobebwa (Simba) Sasa hivi wanatoa kelele Nyingi kwanini Tarehe 8 mlikataa Kucheza mechi mnaishupalia hii ya Tarehe 15 June mmesahau kuwa mlikimbia mechi?.

Hii nguvu iliyotumiwa na Bodi ya Ligi Kuandika Bango kubwa kuwa Tarehe 15 June kutakuwa na Mchezo,kwanini isingetumika kuwashinikiza Simba Wacheze Tarehe 8, power hii ilitakiwa watuonyeshe tangu Siku ya kwanza.

Jumatatu ufanye mazoezi mpaka ijumaa eti mazoezi ya Nusu saa Siku Moja kabla ya mechi Ndio iwe Sababu ya Kugomea Mchezo sasa hivi wanajifanya wanataka kupita Humu humu kuonyesha kama wao hawana Makosa.

Ukikaa Upande wa ushabiki hivi Vitu huwezi kuvielewa ila Ukikaa Upande wa Mpira Utakuwa Umenielewa...Maoni yangu Yanga Wasitie Timu Uwanjani June 15".
 
Bodi ys Ligi na TFF ndo waliahirisha Mechi Mkuu..
Hukuona Tangazo lao?
 
Iliahirishwa saa ngapi !?? Simba barua Yao ya kusema hawatoscheza ni ya saa ngapi!?? Mbona mnajitoa ufahamu... Mpaka mchana inahairishwa bodi ya ligi walisema mechi ipo ..wakati Simba walisema jana yake usiku hawachezi ....
 
Hao wanajitoa ufahamu hawataki kueleza chanzo husika mpaka tumefika hapa tulipo.
 
Iliahirishwa saa ngapi !?? Simba barua Yao ya kusema hawatoscheza ni ya saa ngapi!?? Mbona mnajitoa ufahamu... Mpaka mchana inahairishwa bodi ya ligi walisema mechi ipo ..wakati Simba walisema jana yake usiku hawachezi ....
SAsa Hilo swala Kuna Haja ya Kuwalaumu Simba kweli??
Kama Bodi ya Ligi wangesema Mechi unachezwa Unahisi Mbgekuwa Hamna Point mpaka sasa?
 
"Kwa mfano Nikikuuliza Kosa la Yanga ni Lipi utanijibu Nini? wanacholalamikia Yanga kipo

Katika sakata Hili naona kabisa kuna kubebana Siwezi kuficha, Simba walitoa Taarifa Usiku wa Manane Kugomea Mchezo tukaona asubuhi yake Bodi ya Ligi wakaja wakaahirisha Mchezo Bila Sababu za msingi.

Hawa ambao waliobebwa (Simba) Sasa hivi wanatoa kelele Nyingi kwanini Tarehe 8 mlikataa Kucheza mechi mnaishupalia hii ya Tarehe 15 June mmesahau kuwa mlikimbia mechi?.

Hii nguvu iliyotumiwa na Bodi ya Ligi Kuandika Bango kubwa kuwa Tarehe 15 June kutakuwa na Mchezo,kwanini isingetumika kuwashinikiza Simba Wacheze Tarehe 8, power hii ilitakiwa watuonyeshe tangu Siku ya kwanza.

Jumatatu ufanye mazoezi mpaka ijumaa eti mazoezi ya Nusu saa Siku Moja kabla ya mechi Ndio iwe Sababu ya Kugomea Mchezo sasa hivi wanajifanya wanataka kupita Humu humu kuonyesha kama wao hawana Makosa.

Ukikaa Upande wa ushabiki hivi Vitu huwezi kuvielewa ila Ukikaa Upande wa Mpira Utakuwa Umenielewa...Maoni yangu Yanga Wasitie Timu Uwanjani June 15".
Ndio Maana Pale Utopoloni Wenye Akili ni Wawili tu Sunday Manara na Mzee kikwete TU Wengineo Wote Waliobakia ni Amnazo kabisa Kichwani
 
Utopolo 18.jpg
 
Back
Top Bottom