ashidodi
JF-Expert Member
- Sep 4, 2016
- 292
- 342
Habari za humu ndani jamani.
Naomba kujuzwa na wazoefu wa huu mfumo wa kuweka pesa kwenye Fixed account, kwa mfano mtu akiweka 3,900,000 labda kwa miezi 6 halafu calculation ikaja kuwa atapata asilimia 3.50.
Je, hii asilimia itakuwa ikiingia kila mwezi au itapatikana mwishoni mwa huo mwezi wa 6 tu?
Asante nawasilisha