Kuna kitu mjini kinaitwa matone hiyo kausha damu cha mtoto!WanaJF habari ya leo na hongereni kwa kukumudu changamoto ya kukatikakatika kwa umeme.
Niende kwenye mada.
Leo nimepata sms kutoka company za ukopeshaji inayonihamasisha kuchukua mkopo kutoka company ya MABOTO.
SMS yao inasema karibu uckukue mkopo wenye riba nafuu CHUKUA LAKI 5 URUDISHE LAKI 6 KWA MIEZI 11 AU MILIONI 1 URUDISHE MILIONI NA LAKI 2 KWA MIEZI 11.
Namba ile ile iliyonisms nikaitumia sms kuwa riba hii ni kweli wakanipigia nakuniambia ni kweli.
Laki 5 makato ni 54545 kwa mwezi kwa muda wa miezi 11.
Sijawahi kukopa taasisi yoyote binafsi zaidi ya BANK NMB NA CRDB NA TPB (Bank ya posta.)
Company hii ya Maboto, Bayport, Faidika na nyingine za binafsi kwa historia najuwa ni zile kausha damu.
Riba hii haijanishawishi kukopa hapana ila tu nahisi inaweza kuwa ni janja janja za company hizi kulaghai watumishi wa umma.
MWISHO.
1. EPUKA KUKOPA BILA SABABU
2. USIKOPE TU KWA SABABU UNAKOPESHEKA KOSA KWA SABABU UNA SABABU YA KUKOPA.
3. Usikopee pesa yote unayoweza kukopeshwa isipokuwa kopa kwa sababu una uhitaji wa kukopa.
4. Usikope kabla ya kuandaa bajeti bali kopa kufuata bajeti uliyoandaa.
5. Usishawishiwe kukopa kamwe mkopo haushawishiwi ila shida ndiyo utakusababisha ukope.
6. Usikope kwa ajili ya ujenzi endapo unaweza kulipa kodi bila kuathiri kipato chako ripa kodi na jenga pole pole.
7. Kopa kwa ajili ya kuwekeza biashara zaidi usikope kununua vitu vya ndani au kwenda kuoa au kulipia mahali au kazi ya harusi, funga ndoa kulingana na kipato chako.
Kuwa na nidhamu ya pesa ili usiwe mtumwa wa madeni.
Kuwa makini matapeli wameadvance wanaanza kutumia hadi huduma za bulky sms.WanaJF habari ya leo na hongereni kwa kukumudu changamoto ya kukatikakatika kwa umeme.
Niende kwenye mada.
Leo nimepata sms kutoka company za ukopeshaji inayonihamasisha kuchukua mkopo kutoka company ya MABOTO.
SMS yao inasema karibu uckukue mkopo wenye riba nafuu CHUKUA LAKI 5 URUDISHE LAKI 6 KWA MIEZI 11 AU MILIONI 1 URUDISHE MILIONI NA LAKI 2 KWA MIEZI 11.
Namba ile ile iliyonisms nikaitumia sms kuwa riba hii ni kweli wakanipigia nakuniambia ni kweli.
Laki 5 makato ni 54545 kwa mwezi kwa muda wa miezi 11.
Sijawahi kukopa taasisi yoyote binafsi zaidi ya BANK NMB NA CRDB NA TPB (Bank ya posta.)
Company hii ya Maboto, Bayport, Faidika na nyingine za binafsi kwa historia najuwa ni zile kausha damu.
Riba hii haijanishawishi kukopa hapana ila tu nahisi inaweza kuwa ni janja janja za company hizi kulaghai watumishi wa umma.
MWISHO.
1. EPUKA KUKOPA BILA SABABU
2. USIKOPE TU KWA SABABU UNAKOPESHEKA KOSA KWA SABABU UNA SABABU YA KUKOPA.
3. Usikopee pesa yote unayoweza kukopeshwa isipokuwa kopa kwa sababu una uhitaji wa kukopa.
4. Usikope kabla ya kuandaa bajeti bali kopa kufuata bajeti uliyoandaa.
5. Usishawishiwe kukopa kamwe mkopo haushawishiwi ila shida ndiyo utakusababisha ukope.
6. Usikope kwa ajili ya ujenzi endapo unaweza kulipa kodi bila kuathiri kipato chako ripa kodi na jenga pole pole.
7. Kopa kwa ajili ya kuwekeza biashara zaidi usikope kununua vitu vya ndani au kwenda kuoa au kulipia mahali au kazi ya harusi, funga ndoa kulingana na kipato chako.
Kuwa na nidhamu ya pesa ili usiwe mtumwa wa madeni.
Kukopa nia kawaida sana kwa dunia ya leo.Ushakopa tayari kwenye bank tatu. Hongera. Sijui huwa mnawezaje. Sijawahi kukopa na natamani nijaribu. lakini nahofu na hizi riba na mambo mengine ambayo nasikia yanachanganya kuelewa kwenye contract. Experience yako ya kukopa ikoje kwenye hizo benki ulizozitaja? And was it worth it kuchukua mkopo? Iliweza kukusaidia bila kukupa pressure kulipa? Nataka nichukue mkopo NMB kwa ajili ya ujenzi. Ila ninasita sana. Hofu
Mmmmmhhhhh!!! Tangazo tena,Tangazo limekaa kisomi Mnooookoo.View attachment 2794904
Duuu hii riba hatarii ,Kwa week moja 20%Bora maboto,
Mi nakopesha kwa wiki moja riba ni 20%
Chukua laki 1 rejesha 120k
Beba 200k rejesha 240k
Na bondi unaweka nakaa nayo hutaki kafie mbele
View attachment 2795040
Mimi nimetega tu nawasubiri wakwame marejesho yaoDuuu hii riba hatarii ,Kwa week moja 20%