Two dimension array
JF-Expert Member
- Jul 25, 2018
- 1,592
- 2,383
Most people don’t realize how much strength it takes to pull yourself out of a dark place mentally. It is necessary to retreat and heal. Being alone has power that very few can handle . Don’t stay in that shell for too long . Your new life is waiting.Nimeisikiliza zaidi ya mara 5 nyimbo ni ya kawaida ila kutokana na utimu uliopo itapewa promo kubwa na haya mambo ndo yanafanya wasanii wengine wakali wasionekane.
Komenti nimeandika kwa kiswahili ila wewe umenijibu kwa kiingereza! Sijaelewa hata kimoja ulichoniambia nitafsirie bossMost people don’t realize how much strength it takes to pull yourself out of a dark place mentally. It is necessary to retreat and heal. Being alone has power that very few can handle . Don’t stay in that shell for too long . Your new life is waiting.
😂😂😂😂😂😂😂Komenti nimeandika kwa kiswahili ila wewe umenijibu kwa kiingereza! Sijaelewa hata kimoja ulichoniambia nitafsirie boss
Analeta porojo hapa,,,siku hizi hiyo lugha hata aliyeishia darasa la Nne anaweza kwenda kusoma haimaanishi kuwa ndo umesomaana au ni mwerevu sana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utadhani alikulipia ada...!!!!
Ipo StudioYakwako nzuri iko wapi
Hater wa good musicMuwe mnaona aibu wakati mwingine... Hule wimbo huna hadhi ya kujadiliwa popote... Kifupi ni takataka...
Huo Muda wa kusikiliza Mara tano nyimbo mbovu unapata wapi??Nimeisikiliza zaidi ya mara 5 nyimbo ni ya kawaida ila kutokana na utimu uliopo itapewa promo kubwa na haya mambo ndo yanafanya wasanii wengine wakali wasionekane.
Huo Muda wa kusikiliza Mara tano nyimbo mbovu unapata wapi??
Hahahahahaahahah Dada wew atukuweziYule anayeanza kuimba ni wa kike ama?
Kiufupi nyimbo mbaya
Wamejikamua sana kama vile wanakunyaKweli nyimbo mbaya kuanzia sauti zao hadi beat
Out of Topic,
kwanini tunapenda kutumia nyimbo (wingi) badala ya wimbo (umoja).
Fulani katoa 'nyimbo' moja kali sana.
Mazoea yamejenga tabia.
Nimependa msimamo wa majibu yako dada JoanahSio majungu ni ukweli
Sijafananisha na yoyote,nyimbo mbaya
Kweli nyimbo mbaya kuanzia sauti zao hadi beat