boy lanugo
JF-Expert Member
- Jun 9, 2015
- 290
- 273
Ndio napo ni hivo hata ngazi ya Taifa,madokta kibao wanasugua,ila Jenista Muhagama ndio anaendena na kasi ya Chura kiziwiMuundo wa usimamizi wa hospital za wilaya zetu ni Dmo Ndio anachagua wajumbe wanaoweza kuunda CHMT . Kama kuna mtu member aliyepo mle kuanzia katibu, muuguzi wa wilaya, mhasibu, mfamasia na wengineo anaamua tu kumuondoa kwa kigezo kwamba haendani na kasi yangu π, mara kibao tunaona baadhi ya halmashauri mfamasia /laboratory/ nurse wa wilaya/ ni mwenye level ya certificate Au diploma na wakati huo huo wenye bachelor wako zao benchi si kwa kuwa hawaweszi kazi ni vile hawajakubaliana na matakwa ya dmo.
Sasa je na huko mkoani RMO na kamati yake inapatikana vipi? Vigezo gani huzingatiwa? Au chini ni kama juu?
Kwamba ni ajira mpyaKaribu kwenye utumishi wa umma kijana.
Huku kuna madudu zaidi ya kwenye siasa, kimsingi huku kuna siasa hata siasa zenyewe.
Wewe fanya kilichokupeleka kisha endelea na maisha yako mengine.
Kijana amekutana na kitu kizitoKwamba ni ajira mpya
Anapambania Chmt mapema πππ
Fanya kazi kwa uadilifu na kujituma kama wajibu wa msingi wa ajira yako.Acha kuanza kutamani vyeo wakati ndio kwanza umeajiriwa.Muundo wa usimamizi wa hospital za wilaya zetu ni Dmo Ndio anachagua wajumbe wanaoweza kuunda CHMT . Kama kuna mtu member aliyepo mle kuanzia katibu, muuguzi wa wilaya, mhasibu, mfamasia na wengineo anaamua tu kumuondoa kwa kigezo kwamba haendani na kasi yangu [emoji23], mara kibao tunaona baadhi ya halmashauri mfamasia /laboratory/ nurse wa wilaya/ ni mwenye level ya certificate Au diploma na wakati huo huo wenye bachelor wako zao benchi si kwa kuwa hawaweszi kazi ni vile hawajakubaliana na matakwa ya dmo.
Sasa je na huko mkoani RMO na kamati yake inapatikana vipi? Vigezo gani huzingatiwa? Au chini ni kama juu?
Indeed.Muundo wa usimamizi wa hospital za wilaya zetu ni Dmo Ndio anachagua wajumbe wanaoweza kuunda CHMT . Kama kuna mtu member aliyepo mle kuanzia katibu, muuguzi wa wilaya, mhasibu, mfamasia na wengineo anaamua tu kumuondoa kwa kigezo kwamba haendani na kasi yangu π, mara kibao tunaona baadhi ya halmashauri mfamasia /laboratory/ nurse wa wilaya/ ni mwenye level ya certificate Au diploma na wakati huo huo wenye bachelor wako zao benchi si kwa kuwa hawaweszi kazi ni vile hawajakubaliana na matakwa ya dmo.
Sasa je na huko mkoani RMO na kamati yake inapatikana vipi? Vigezo gani huzingatiwa? Au chini ni kama juu?
Fanya kazi tu mambo yataeleweka badae ndio changamoto za utumishiMuundo wa usimamizi wa hospital za wilaya zetu ni Dmo Ndio anachagua wajumbe wanaoweza kuunda CHMT . Kama kuna mtu member aliyepo mle kuanzia katibu, muuguzi wa wilaya, mhasibu, mfamasia na wengineo anaamua tu kumuondoa kwa kigezo kwamba haendani na kasi yangu π, mara kibao tunaona baadhi ya halmashauri mfamasia /laboratory/ nurse wa wilaya/ ni mwenye level ya certificate Au diploma na wakati huo huo wenye bachelor wako zao benchi si kwa kuwa hawaweszi kazi ni vile hawajakubaliana na matakwa ya dmo.
Sasa je na huko mkoani RMO na kamati yake inapatikana vipi? Vigezo gani huzingatiwa? Au chini ni kama juu?