Jabari XVI
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 1,042
- 1,413
Ok. ..Mimi ni o+ sijachoma imeniepuka hiyo kama ningekua o- sindano ingenihusu ni vyema mtu akajijua kabla lakini kwa kawaida sisi watanzania hatuna utaratibu wa mtu kupima blood groups ni wachache sana hufanya hivo tu kwa mtu kutaka kujua au akiwa ana dhumuni maalum lakini wakina mama wengi magrup yao ya dam huyajua wanapokua wajawazito huko ndio wanakumbana na haya mambo