Leo katika taarifa ya habari ya saa nne asubuhi Radio Free Africa imetangaza kuwa Alhaj Husein ambaye ni mrithi wa sheikh Yahya amekitabiria CCM ushindi wa 90% katika chaguzi zijazo eti kutokana na migogoro inayovikumba vyama vya upinzani. My take: kama RFA imeona kwamba hii ndo habari ya maana basi nasema yafuatayo:
1. Mmezidisha Mahaba kwa CCM (Mnatukera wasikilizaji)
2. Mnaamini vitu visivyo na scientific proof (ushirikina)
Ni bora mkaripoti hata habari za Balozi wa nyumba kumi kuhusu shida za watu wake kuliko huyo mshirikina.