Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,494
- 12,466
Midude km Big Show inakalishwa na haka kajamaa halafu unakaita kachumba? teh teh teh teh ila hyo sura bora tu aendelee kuvaa mask.Mchumba sanaaa
Huyo jamaa unamwita mchele? show zake unazijua? Waambie wakuwekee moja ya show ya huyo mtu hatar kuliko hatar yenyeweVizuri mrembo
Unabidi upate mwanaume kama mimi mwanaume wa kazi sio huyo mchele mchele
Nikweli aliwahi kuuwa mtu?Rey mysterio ana historia ya kuua mtu ulingoni
same to me yaan nimewaza hivyo hahaa sura tamuuuHiyo sura ya mtt wa kike hata mm ningekua great khali ningemuacha tuu anipige
True dat mkuuKwa sura hii hakufaa kucheza mieleka. Sura yake haikuumbiwa shida.
Hahaha mwehHiyo sura ya mtt wa kike hata mm ningekua great khali ningemuacha tuu anipige
Hutoki kweliLazima akuweke kwenye Kamba.
Hiyo hutoki
Si kwelini shoga afu
MwehMask inamsaidia sana kama siyo mask angekuwa anapigwa denda kwenye ulingo
Hahaha, kwel mkuu sura sio rohoMidude km Big Show inakalishwa na haka kajamaa halafu unakaita kachumba? teh teh teh teh ila hyo sura bora tu aendelee kuvaa mask.
619Huyo jamaa unamwita mchele? show zake unazijua? Waambie wakuwekee moja ya show ya huyo mtu hatar kuliko hatar yenyewe
Apia.!!!Rey mysterio ana historia ya kuua mtu ulingoni
Sure he is...nHe's very good looking!! lols
Mweh??picha tamuuuuu loooh demu wake anafaidijeee looooh sura ya pesaaaaa