Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,087
- 143,301
Zamani kulikuwepo na tangazo la sabuni ya Revola redioni. Hili tangazo lilikuwa linatuacha hoi mimi na binamu zangu kwa sababu lilikuwa linasikika au tulikuwa tunalifananisha na ile milio/ miguno ya kimahaba.
Reevoola...reeevooola...reeeeevooooola! Hivi hii sabuni bado ipo kweli?
Umewaza nini mpaka kulikumbuka tangazo lile!? Hahahahahah lol!
Umewaza nini mpaka kulikumbuka tangazo lile!? Hahahahahah lol!
Alikuwa anafanya shughuli aliyekuwa akiifanya kwa kutumia Revola enzi hizo ndio akakumbuka eeee?
Hahahaaa kama ulikuwepo vile...lol
Kisha yule mdada alokuwa akionyesha tangazo lao kwenye TV nae alikuwa bomba. Lazima shughuli iende smoothly ukichanganya matangazo yote mawili :]
Alikuwa anafanya shughuli aliyekuwa akiifanya kwa kutumia Revola enzi hizo ndio akakumbuka eeee?
inashangaza kuwa REVOLA ndio ilikuwa sabuni maarufu kuliko zote tz
na kampuni imekufa....
ingekuwa Ulaya au US kungekuwepo hata na vitbu vingeandikwa
like 'Rise and fall of Revola'
au Rise and fall of Bodycare' kampuni husika
au BODYCARE what went wrong????.....
waandishi wabongo kazi ni kutafuta bahasha tu maofisini mwa mafisadi...
wakati kuna mambo meengi wangeandika...wangepata pesa ya uhakika..
Alikuwa anafanya shughuli aliyekuwa akiifanya kwa kutumia Revola enzi hizo ndio akakumbuka eeee?
Kwetu kuna pesa nje nje za ufisadi, kwa nini uhangaike na kufanya tafiti?
Ila inashangaza sana kuwa Revola imepotea kwenye soko. Nchi za nje hata basi ingenunuliwa brand na kampuni nyengine tu.
hizo pesa za mafisadi hazimalizi njaa
wakati na heshima inashuka...
vitabu vingewapa heshima na njaa ingewaisha..
kweli kuhusu brand,umenipa idea aisee,,,,
Revola haihitaji hata matangazo....kila mtanzania anaijua...
yaani ni goldmine kabisa..
siji kama Mengi ataweza kuiuza...
Umewaza nini mpaka kulikumbuka tangazo lile!? Hahahahahah lol!