GE2025 Clayton Chipando (Baba Levo) ateuliwa kugombea ubunge jimbo la Kigoma Mjini kupitia CCM

GE2025 Clayton Chipando (Baba Levo) ateuliwa kugombea ubunge jimbo la Kigoma Mjini kupitia CCM

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Msaanii wa muziki nchini Clayton Revocatus Chipando maarufu kama Baba Levo ameteuliwa kugombea ubunge jimbo la Kigoma Mjini kupitia CCM kuelekea uchaguzi mkuu 2025

View attachment 3450429
Hili ni miongoni mwa Majimbo ambayo wapinzani feki watapewa, ndio maana kawekwa huyu aliyefanya fujo siku ya kura za maoni ili iwe Rahisi kumpa Zitto
 
Nawasikitikia wazazi ambao bado wanaa amini kwenye elimu Tanzania hii bado kidogo tu tutampata rais asie jua hata kuandika jina lake, one love baba levo umewaheshimisha ma iliteracy mtoto wa lukuga


Fullstop, kwishaaaa
 
Back
Top Bottom