GE2025 Clayton Chipando (Baba Levo) ateuliwa kugombea ubunge jimbo la Kigoma Mjini kupitia CCM

GE2025 Clayton Chipando (Baba Levo) ateuliwa kugombea ubunge jimbo la Kigoma Mjini kupitia CCM

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Zitto hana cha kupoteza atakula za project ya wapinzani wa kupotezea maboya project ya CCM B na C. Yaani ACT na CHAUMA wazee wa ubwabwa kifupi wanachama wa ACT ni shabiki wa kuwa mabwabwa.
Lete ushahidi
 
Chawa mwenzake mtukuka mwijaku walimfyekelea mbali kwenye kura za maoni
 
Nawasikitikia wazazi ambao bado wanaa amini kwenye elimu Tanzania hii bado kidogo tu tutampata rais asie jua hata kuandika jina lake, one love baba levo umewaheshimisha ma iliteracy mtoto wa lukuga


Fullstop, kwishaaaa
Elimu ya darasani vs Elimu ya mtaa.
 
Huu nao uzi powah ndo nini unaandika ka inakalia nyama iso na mfupa
 
Hili ni miongoni mwa Majimbo ambayo wapinzani feki watapewa, ndio maana kawekwa huyu aliyefanya fujo siku ya kura za maoni ili iwe Rahisi kumpa Zitto
Watanzani hawaelewi hizo siasa !!wanakurupuka tuu !!! Hawajui huo ni mchezo wa CCM Ili wafadhili watoe pesa
 
B levo Baaaaa Fundi majumba ennheeehheehehee

Hongera Sana mkuu hapo ubunge Tayari huku kwingine hata usipopigiwa Kura na mtu wewe tayari ushaula.

Na lile ghorofa ñaona sasa linakwenda kumalizika Kwa kasi sanaa
 

Attachments

  • images (10).jpeg
    images (10).jpeg
    56.6 KB · Views: 13
Back
Top Bottom