Revocatus Babeiya: Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Missenye na Mwalimu wa Shule ya Serikali!

Mbona wapo wengi sana watu wa design hiyo. Wengi ninaowajua mimi ni wenyeviti wa vijiji kupitia ccm na pia ni walimu wa shule za msingi na sekondari. Pia namfahamu mmoja ni headmaster na mwenyekiti wa kijiji.
Wote kwa ujumla wao wanafanya makosa kisheria kwani ni watumishi wa umma wanaojihusisha na siasa directly kwa kuwa viongozi wa kisiasa.
Ila kwa kuwa wapo upande wa ccm hawachukuliwi hatua zozote kwa mujibu wa sheria na taratibu.

Hivi mnakielewa mnachokiandika?

Ni mwanasiasa yupi ambae si mtumishi wa umma?
 
By the way pia mimi ninaidadi nzuri tu ya makamanda wanaofanya kazi ofisi za umma huku ni viongozi wa Chadema so umbea tuache tukitafutana tutaharibiana wengi.
 
Kwani kinachofundisha ni GPA au ni mtu. Kama chuo kimeweka sheria zake za katika kupokea walimu/lecturers Kwa kiwango flani cha GPA lazima ifanane na vyuo vyengine?
Wewe huna Elimu ya Chuo Kikuu nini? Siamini Kama Kitila Mkumbo ana GPA ya 3.4 ( haiwezi kutokea) lakini ukweli ni kwamba viwango vya Elimu kwa Wahadhiri wote sio matakwa ya Chuo husika ni agizo la TCU kwamba walau wahadhiri wawe na GPA isiyopungua 3.5 (upper Second Class)
 
Nimekuwa nikifuatilia masahibu yanayowapata watumishi wa umma wanaojishughulisha na siasa hasa kwenye vyama vya upinzani wakati hali hio ni tofauti kwa wale walioko CCM.

Mathalani Prof. Mwesiga Baregu alikatishwa mkataba kwa madai kuwa alikuwa kiongozi wa chama cha siasa wakati sheria ya utumishi wa umma inamkataza mtumishi kuwa kiongozi wa chama cha siasa, vilevile Dokta Kitila Mkumbo alipewa barua ya maelezo nikwanini amekuwa kiongozi wa chadema ilhali nimhadhiri wa chuo cha umma!

Kama sheria ni moja kwa nini inatumika upande wa upinzani tu? Ndugu Revocatus Babeiya ni mwalimu wa Bunazi sekondari iliyoko wilaya ya missenye mkoani kagera,wilaya ambayo yeye ni mwenyekiti wa UVCCM na mjumbe wa halmashauri kuu taifa!

Cha ajabu shule hio iko kama kilomita mbili toka ziliko ofisi za mkuu wa wilaya na Mkurugenzi ambao ndo waajiri wake kwa maana hio taarifa zote wanazo lakini wanafumbia macho suala hilo,sasa utawala wa sheria uko wapi hapo ndugu zangu GREAT THINKERS?

sio huko tu hata hapa Singida mwenyekiti wa UVCCM MKOA BWANA LISSU ni mwalimu wa sekondari, KATIBU MWENEZI WA MKOA NI MWALIMU WA SEKONDARI ILA KWA SASA AMEHAMISHIWA KITUO CHA WALIMU NYERERE, KUNA MWINGINE ANAITWA KUNDYA NI MWALIMU WA SEKONDARI NA NI MJUMBE WA UVCCM MKOA. MKUU WA CHUO KIKUU HURIA (OPEN UNIVERSITY NI ASHA ROSE MIGIRO. ccm ndio hao watakaoleta machafuko kwa kubagua na kuwanyima watu haki zao.
 
bora we we kyoma kurara ti ntabara ya muesi umeweza kuhoji hili.kwa ujinga na uoga uliotawala huko kwetu hasa misenyi yetu hiyo usiseme.ujanja wote wa wahaya na unshomile wetu huwa unaishia hapo.utakuta watu wanatetemekea huyo mtoto balaa.eti kakitandugao.
 
Yale yale ya Kitira Mkumbo, yeye hakufanywa kitu kwa kuwa ni Usalama wa taifa, ndio maana pamoja na kuwa na GPA ya lower second ya 3.4 walimchukua na kumfanya pandikizi ndani ya Chadema. Muda ufike tuwe na level play field tumechoka watu wachache kujifanya hii nchi ni yao. Hebu angalia sasa mathara ya huyu mwalimu asiyefundisha kwa taifa hili, inamaata mamia ya watoto wafeli kwa kulea CCM?

ccm ni chama cha wajinga wajinga tuuu! Ndio maana awe mzee,awe kijana awe mtoto awe mwanamke,awe mwanaume wote akili zinafaana kabisa ni mapumbavu wote,
 
Kwani kinachofundisha ni GPA au ni mtu. Kama chuo kimeweka sheria zake za katika kupokea walimu/lecturers Kwa kiwango flani cha GPA lazima ifanane na vyuo vyengine?

Sasa sheria ya UDSM inahitaji mtu awe na at least GPA ya 3.8 kwenye first degree ili awe tutorial assistant..
 
Mwingine huku wilaya ya Kwimba ni MNEC CCM Taifa ndugu Lameck Mahewa ni mwalimu wa Ngudu sekondari na pia ni mwenyekiti/katibu wa chama cha walimu (CCW)wilaya ya kwimba.
 
By the way pia mimi ninaidadi nzuri tu ya makamanda wanaofanya kazi ofisi za umma huku ni viongozi wa Chadema so umbea tuache tukitafutana tutaharibiana wengi.

There in red shows your price. Una compromise sheria ili ku hit balance..!? hatari hii.
 
Back
Top Bottom