okHii
HII SASA DHARAU MKUU KAMA HUNA CHA KUCHANGIA STAY QUIET
Mkuu hiyo The Triangle ni movie nzuri ila ukiondoka kidogo tu ushapoteza mwelekeo, ilivyoisha yaani mwanzo ndio mwisho na mwisho ndio mwanzo...Kama hiyo umeshindwa elewa, THE TRIANGLE ndo' utaumiza kichwa kabisa. Mahadhi yake yanafanana ambapo kunakuwa na looping plot, the same na HAPPY DEATH DAY.
Hiyo movie ya IN THE TALL GRASS, kuna namna ambavyo wale waliozama ndani walipata nasibu ya kumwokoa yule mtoto ambaye ndo anafanya watu waingie humo kwa kuwaita akiwaomba msaada. Na kwakuwa mtoto yule alikuwa amemezwa na sacred stone ambayo hufanya plot iwe ya kujirudiarudia pasipo kukoma, ndipo wale waliozama ndani wakamsihi yule mtoto arekebishe makosa yao kwa kuwazuia wasiingie tena humo ndani ya Majani. Ndo unaona yule dogo karudi na kuwasihi wale watu wasiingie mule ndani ya majani pasipo kujali wanasikia mtu akiwaita humo.
Sent using Jamii Forums mobile app
In the tall grass ipo very direct. Mwanzo na mwisho wake unaonekana vizuri tu. Tulia uangalie tena.
Kama wadau walivyosema hapo juu movie ambayo haina mwanzo wala mwisho ni TRIANGLE pale Ndio utajua hujui ukiangalia ile movie Yani uanaangalia 20 minutes af unarewind uangalie tena Ndio uelewe Yani kama unasolve hesabu.
Happy death day to you kwangu Naona ipo straight.
Ila ukitaka kufurahisha ubongo chek the nun na curse of la ronna.
Usisahau the clown
Happy death day to you all in the tall grass
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mmenipa kila sababu ya kutafuta hizi movie...I like to crack my brains...
Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
Yani ile movie in short haina mwanzo wala mwishoMkuu hiyo The Triangle ni movie nzuri ila ukiondoka kidogo tu ushapoteza mwelekeo, ilivyoisha yaani mwanzo ndio mwisho na mwisho ndio mwanzo...
hahaaahaha hukunywa panadol ilivyoisha mkuu?!Yani ile movie in short haina mwanzo wala mwishoaisee nilitazama mara tatu tatu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilienda nje kupumzika kwanzahahaaahaha hukunywa panadol ilivyoisha mkuu?!
Hiyo Triangle Inahusiana na Nini?Mkuu hiyo The Triangle ni movie nzuri ila ukiondoka kidogo tu ushapoteza mwelekeo, ilivyoisha yaani mwanzo ndio mwisho na mwisho ndio mwanzo...