Revenge Opportunity for Congo DR?

Revenge Opportunity for Congo DR?

Truth Matters

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2013
Posts
2,633
Reaction score
5,611
Habari za uhakika zilizothibitishwa na rais wa Uganda na Msemaji wa jeshi la Uganda ni kuwa UPDF inapigana bega kwa bega upande wa Salva Kiir dhidi ya Riek Machar..

kwa kuwa wa-congo wameteswa sana na M7, si haki DRC ku-support Machar dhidi ya M7? Ki-jiografia nadhani South Sudan inapakana na Congo DR!
 
Acha mawazo ya mgando ya kusambaza ugomvi/vita. Waafrica tunachotaka ni amani na kupinga uonevu na kunyonyana. By the way,UPDF wamefanyiwa ambush wamekufa askari zaidi ya 400. M7 kathibitisha hilo pia akiwa kwenye kikao cha viongozi wa Africa Angola. Rip askaris.
 
Mkuu Congo DRC wakisikia ushauri wako watakuwa watu wa ajabu sana. Badala ya kujenga Taifa lao, wao kila siku wawe wanapigana. Anayefaidika nani? Peaceful DRC itatupa hata sisi neeema...
 
Back
Top Bottom