Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

Mtoa mada amesema yeye haoni shida kuwa responsible kwa kitakachom backfire. ..hata kufa ye anaona fresh tu.
Ndio kaamua njia yake ya kisasi na ameridhika swaafi kabisa....ndio maana hakutaka maushauri yenu
Easy!!

Ni kweli amesema hivyo,lakini huyo mwanamke anaweza kulipa kisasi kwa namna yoyote ikiwepo hata kumdhuru mwanamke wa mtoa mada ili na yeye akose.
Huoni kama hayo madhara yanaweza wafikia hata wale wasiokuwa na hatia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika hii hadithi ni kweli kabisa mwanaume hakuwa msaliti na namsifu sana kwa kuwa na msimamo huo kwani ni wanaume wachache sana kama si pekeyake mwenye huo msimamo dunia yetu ya leo.

Mwanamke/binti amefanya usaliti na simtetei kwa kufanya usaliti kwa sababu ni tabia mbaya,pia ni halali yake kuachwa.

Shida ni namna mwamba alivyomuacha huyo binti,
Kulikuwa na ulazima gani wa kumdharirisha??


Sent using Jamii Forums mobile app
wapi kamdharilisha?
 
Mkuu mwanamke hata umpe dunia nzima kamwe usitegemee hata kuja kugongwa nje yani hawa viumbe sio kabisaa… KUMUAMINI MWANAMKE NI UPUMBAVU maana unajua kabisa ipo siku atakutoa machozi.
Yeah yaani wanawake wa kileo wahudumie kimtindo tu siyo mibajeti kibao matokeo yake kichwa kinakuuma tu
 
Back
Top Bottom