Revenge kwa aliyekusaliti

Revenge kwa aliyekusaliti

Status
Not open for further replies.

newbeliever

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2015
Posts
248
Reaction score
48
guys nahitaji kujua tofauti na kuachana nae ni njia ipi ni best revenge kwa mpenzi(Wa kike) aliyekusaliti japo unaendelea kuishi nae? njia itakayomuumiza zaidi for long time I mean WWIII kati yake na Mimi.
 
Utateseka wewe zaidi, either samehe au achana naye.
 
Aisee... Kuna majanga sana siku hizi. Shida ni nini??
Mapenzi sasa vita..
 
Hapo ni na wewe kutafuta wa nje unapiga.. Kinyume na hapo utaweza mchinja mkeo. Maumivu uwa hayaishi hayo..
 
Acha utoto. Unamrevenge ili iwe nini? Alikusaliti kwa kukupa madawa ukalewa akakuletea wanaume wakaku do? Mbona unataka kumuumiza mwenzio aliye wahi kukupa roho yake? Acha utoto
 
guys nahitaji kujua tofauti na kuachana nae ni njia ipi ni best revenge kwa mpenzi(Wa kike) aliyekusaliti japo unaendelea kuishi nae? njia itakayomuumiza zaidi for long time I mean WWIII kati yake na Mimi.

Never under estimate your enemy!
 
kuachana nae naona atajisifu sana afu ntaendelea kuumia.bora na yeye aumie Dam55
 
Last edited by a moderator:
mie mwanaume ila mambo mengine in sababu ya mtu kuvunja moyo wako sumbai
 
Last edited by a moderator:
nikimpenda zaidi afu ikatokea moment nikakumbuka alivogegedwa inaniuma,nataka nipoze maumivu na yeye aumie Kaunga
 
Last edited by a moderator:
coz kagongwa nje na wakati tuko wote dats y nataka nirevenge mangatara
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom