Revealed: JK behind UVCCM Recent Moves

The Harmattan Blowing so vehemently in the North is heading South. So bold, and no man can resist its power. Viva la Tunisie, Viva la Alexandrie...!:clap2::clap2:
 
Bw Hunter utakuwa umesahau kuwa wasomi ndo wanaotumika sana kuwaongopea wananchi mifano ni mingi. Angalia redet, kwa hosea nk.
 
Hivi nani mwenye akili ccm?hata rostam mwenyewe hana akili. Nangoja kuona hayo maandamano hatafanyikaje! Inapotokea serious issue ya kitaifa, hawa mabwana wao wanatafufa mbinu ya kuua mjadala.......tunataka katiba mpya. Mambo ya.kiutendaji ya bodi ni swala la wizara tu. Mbona bawakuwahi kutaka kuandamana wakati wa malipo ya wazee wa east africa?

Najisikia kuwatukana lakinj mod watafanya mbaya.
 
Wanafunzi wooote wa vyou ni bongolala.
Wamesahau kwamba serikali iliyopo madarakani si chaguo lao. Yaani wamesahau kwamba walinyimwa haki ya kumchagua raisi wao? Sasa hao Uvccm wanakuja na danganya toto eti wanataka kushughulikia matatizo yao.
Ama kweli usomi hapa hauna maana! Cha msingi ni kuiondoa serikali iliyo madarakani kwani si chaguo lao! PERIOD!
Si waliambiwa vyuo vilifungwa kwa sababu hawakuwa na pesa kipindi hicho ila baada ya uchaguzi. Sasa hizo hela zimeenda wapi. Kwa mpango huu hatuwezi kufika kokote. Hawa wanachuo wanakuwa kama mazuzu! Laiti wangekuwa wanakumbuka walivyonyimwa haki ya msingi ya uchaguzi wangekuwa wa kwanza kuigomea serikali hii.
Mi wananiboa kweli!
 
Mie hii kitu nilikwisha ishitukia kitambo. Wameona mtaji wa chadema unaanzia vyuoni kwa wasomi sasa hawa UVCCM wanajaribu kuja na mbinu ya kucounteattack mapigo ya Chadema kupitia kwa wasomi. Lakini bahati nzuri wasomi tunasema hatudanganyiki nao. Mbinu zilezile kutoka kwa watu walewale wenye mawazo mgando kila kukicha ya kutugandamiza watz tumewachoka wafie mbali
 

Hili linawezekana lina ukweli mkubwa sana. Kitu kibaya ambacho wanajisahau hawa wakuu ni kwamba walio mbele UVCCM na kwenye siasa za leo hawana mvuto wa kweli wa kiuongozi. Wanaenda kwa kubebana, kutengeneza fitna na majungu na lililo baya kabisa ni kutojua watanzania wa leo wanataka nini. Hawa jamaa wanafikiri wanaandaliwa ili baadae watukuzwe kama waliopo leo wanavyotaka ktukuzwa. Ningepata wasaa ningemtafuta mtoto wa Husni Mubaraka wa Egypt nipime presha za moyo wake zinaendaje maana alijua ndio atakuwa mrithi wa kiti cha enzi.....
 
Unaweza kudanganya watu wachache kwa muda mchache,huwezi kudanganya watu wote kwa muda wote,watz hatudanganyiki tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…