REVEALED:Ciello amhonga Lundenga wa Chit-Chat.

Kiraka Kikuu

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2011
Posts
5,903
Reaction score
2,001
Habarini wadau!!
Chanzo makini kabisa cha habari kimeweka wazi miss Chit-Chat wa mwezi November Ciello,kutoa hongo kwa Lundenga wetu Ruhazwe JR,ili mashindano ya Chit-Chat ya mwezi december yasifanyike kama yalivyo pangwa kwani roho inamuuma kukabidhi taji kwa mrembo mwingine.
MY TAKE:
Iundwe kamati maalum kuchunguza sakata hili na wahusika hawa wawajibishwe mara moja.
 
Last edited by a moderator:
hahahahah Eliah hata wewe??? mie nadhani wamvishe taji tu charminglady...mwezi huu haujakaa kimashindano kabisa...
 
Last edited by a moderator:
hahahahah Eliah hata wewe??? mie nadhani wamvishe taji tu charminglady...mwezi huu haujakaa kimashindano kabisa...

teh teh mamie... unataka nipewe za uso na wadau!!! Ya ngoswe mwachie ngoswe
 
Last edited by a moderator:
mmmh... Ciello utani-disappoint kama itakuwa kweli shost.
 
Kwa Ciello hata sibishi,anaweza yule,atakuwa kahonga tundi,ndo rushwa wanayoweza ku afford warembo wengi
 
Last edited by a moderator:
ningeshangaa ka usingenimsapoti eliah....huyo lundenga mumsemaye hana sifa za kuhongwa tundi na mimi...
Kwa Ciello hata sibishi,anaweza yule,atakuwa kahonga tundi,ndo rushwa wanayoweza ku afford warembo wengi
 
mbona hata ushindi wake ulikuwa na utata, tuulize sisi tulio nyuma ya shindano hilo tukwambie mambo ya Ruhazwe JR.
 
Last edited by a moderator:
hahahahahah HEART nawe waamini maneno ya eliah??

Kwakuwa umepinga naomba nikuamini wewe...ila lisemwalo lipo,kwann washikie bango na wao..
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…