Revalation: Siri ya damu ya kondoo

Revalation: Siri ya damu ya kondoo

Kwa kweli hio inaweza ikawa fact but navojua mm mnyama amina ya farasi ndio anatumiwa sana kutoa Anti Venom ya nyoka , Process ni ile ile alio sema ndugu [HASHTAG]#Mshana[/HASHTAG] , Farasi anachomwa sum ya nyoka mwili wake unareact na hio poison after some few hrs bas ni dawa ya sum ya nyoka.
 
Sasa mkuu hujaelezea matumizi yake hiyo damu ya kondoo,, tunainywa ama?
Kha !mkuu wewe kiboko! hebu soma paragrafu ya 4 na ya 5 kina majibu !au uliishia kusoma kichwa cha habari tu Watz na kusoma mbigu na ardhi ana wakisoma kuelewa majaaliwa
 
Hii kitu imekaa vizuri sana. Yaweza kutumika kama kielezo "analogy", unapofundisha juu ya nguvu iliyomo katika damu ya Yesu.Unakuwa mfano unaoweza kujenga mantiki ya kiroho ya itikadi ya Kibiblia ya wokovu, ukombozi na ushindi dhidi ya dhambi na mkuu wa dhambi Shetani kama alivyosema mleta mada. Nimekubali hili somo.

asante kwa kunielewa, watu kama ninyi ni silaha nzuri ya ukombozi , barikiwa sana.
 
Kwa kweli hio inaweza ikawa fact but navojua mm mnyama amina ya farasi ndio anatumiwa sana kutoa Anti Venom ya nyoka , Process ni ile ile alio sema ndugu [HASHTAG]#Mshana[/HASHTAG] , Farasi anachomwa sum ya nyoka mwili wake unareact na hio poison after some few hrs bas ni dawa ya sum ya nyoka.

farasi na kondoo , ila kondoo ikawa na nguvu zaidi ,,, even farasi ni mystery , Mungu atujalie kutufunulia
 
Back
Top Bottom