uvugizi
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,348
- 1,097
America kuna kitongoji kinaitwa Thomasville , katika mji wa Georgia .Mji huu una nyoka wengi sana , mpaka wakapaita " The centre of america snake belt " , yaani nyoka wapo kila mahali .
Kwa mujibu wa Dr Ed hall wa Thomasville hospital kila wiki lazima mtu aletwe hospitali kutibiwa kwa kuumwa na nyoka , na takribani watu 20 kwa mwezi .
Cha kushangaza baada ya tafiti nyingi za kutibu watu walioumwa na nyoka , imegundulika , Mnyama KONDOO siyo mbuzi , damu yake ni tiba ya sumu ya nyoka.
Damu ya kondoo imeonekana ina uwezo mkubwa wa kuondoa sumu ya nyoka , ina kitu ndani yake kinaitwa ANTIVENOM IMMUNOGLOBIN.
Dawa hii inapatikana kwa kumuingizia kondoa VENOM ( Sumu ya nyoka ) , ikichanganyika na damu ya kondoo inatoa antibodies , ( kinga za mwili dhidi ya sumu ) ambayo baada ya michakato ya kisayansi , Mwanadamu akiwa injected anakuwa poisonous free.
Kwa sisi watu wa kiroho huu ni ufunuo wa Mungu kwetu ., kwani imeandikwa ,,,ufunuo 12:11,,,, Nao wakamshinda kwa damu ya mwana kondoo, na kwa neno la ushuhuda wao.
Yohana 1:29. ,, Siku ya pili yake amwona yesu anakuja kwake, akasema tazama , Mwana kondoo wa Mungu , aichukuaye dhambi ya ulimwengu ..
Hakika ya rohoni yanathibitika mwilini , wale wa Theology wamenielewa ..
Be inspired