murutongore
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 2,051
- 639
mkuu wewe nitaendelea kukutilia shaka milele na yeyote anayefuatilia uchangiaji wako katika jukwaa hili, sina shaka umetumwa kuwa sehemu ya walioandaliwa kuifuruga nchi hii, kamwe wewe na aliyekutuma hamtafanikiwa, na utalaaniwa zaidi ya kizazi cha nyoka. VIVA TANZANIA
inayokuhifadhi! Shukuru mungu ila usiote kuwa utarudi rwanda. Hiyo sahau.
Zanzibar-Nyamwezi
===>Naamini wakimgusa tu ndio utakuwa mwisho wa PK pale mtaa wa pili ie Chigali.
Cheche Mtungi, Mtikila ndo hivyo tena. Chigali kuna namna yoyote wana mkono?
Hawana mkono wowote ule. Ni ajali tu.
Hata familia wamekiri hivyo. Lakini, natamani uchunguzi nje ya post mortem ya hospitalini ungeendelea (japo nyuma ya pazia).
Mfano, hayo malori au hilo gari dogo lililojaa njia yao hadi wakaenda msituni. Je kuna link yoyote?
Adui wa zamani anaweza kutumia mwanya ili ionekane 'adui' wa sasa ana mkono (Mungu wa adui wa sasa 'kalipiza'?)
Adui wa zamani anafanya kazi na adui wa sasa
Au hujui link ya Lowassa na Kagame?
Hiyo link sijui kwann sina imani nayo.
Hata familia wamekiri hivyo. Lakini, natamani uchunguzi nje ya post mortem ya hospitalini ungeendelea (japo nyuma ya pazia).
Mfano, hayo malori au hilo gari dogo lililojaa njia yao hadi wakaenda msituni. Je kuna link yoyote?
Adui wa zamani anaweza kutumia mwanya ili ionekane 'adui' wa sasa ana mkono (Mungu wa adui wa sasa 'kalipiza'?)
Uchunguzi wa polisi umeshafanyika na hakukuwa na faulo yoyote. Tatizo ni kuwa watu wanatumia ile picha kama kigezo. Ile picha ilipigwa baadae kabisa baada ya watu kumuokota na kumkagua kagua kuona kuwa yuko hai au la. Sio kwamba ilipigwa immediately baada ya ajali. Ilipigwa baadae. Ni kwamba katika ajali, mtikila actually alikuwa amelaliwa na gari, walimchomoa toka chini ya gari na kumuweka pembeni. Kufunguliwa mkanda wa suruali, viatu na tai, ni mambo ya kawaida mtu anapopewa huduma ya kwanza.
Ripoti ya polisi haisemi kuwa alilaliwa na gari,ripoti inasema alirushwa nje ya kioo cha mbele tena mbali
Maelezo yote yametolewa na majeruhi, alirushwa na kutokea mbele, kisha gari ikamlalia, wenzake ndio walimchomoa chini before polisi kufika. Polisi wameshaungana na maelezo hayo.
Mtatafuta kila namna mpate sababu ya kumchafua jamaa,hapo vichwani mwenu tayari mnafikiria kumhusisha Lowassa,Lowassa hawezi kuwa mjinga kiasi hicho kwa kujihusisha na jambo kama hili ktk wakati huu wa kampeni ambapo mahasimu wake wa kisiasa wanatafuta kila njia kummaliza kisiasa....halafu ndio aje kujiingiza mwenyewe nyavuni?Think twice bruh!Hebu tuache masihara mwili wa marehemu ulivyo katika picha ni wa binadamu aliyelaliwa na gari????
Hana hata mchirizi wa damu na kifua kinaonekana na uso???
Unajua uzito wa gari? Unajua ulaini wa mwili wa binadamu? Hata mkwaruzo hakuna??
Polisi waache masihara!
Hawana mkono wowote ule. Ni ajali tu.
Mtatafuta kila namna mpate sababu ya kumchafua jamaa,hapo vichwani mwenu tayari mnafikiria kumhusisha Lowassa,Lowassa hawezi kuwa mjinga kiasi hicho kwa kujihusisha na jambo kama hili ktk wakati huu wa kampeni ambapo mahasimu wake wa kisiasa wanatafuta kila njia kummaliza kisiasa....halafu ndio aje kujiingiza mwenyewe nyavuni?Think twice bruh!
Hebu tuache masihara mwili wa marehemu ulivyo katika picha ni wa binadamu aliyelaliwa na gari????