Licha ya kwamba hapa JF nafurahishwa na michango ya watu wengi lakini huyu jamaa ananitengenezea sana siku zangu.
Mungu akupe maisha marefu na mapepo wachafu wanaosababisha BAN wakutoke na wamuingie Malaria Sugu mara moja.

Rev Masa V/s MS
MS ni kilaza hana uwezo wa kupambana na Rev Masa, kwanza MS kazi yake ni kuanzisha thread kujibu na kupangua hoja hajui, na hata kamaanajibu hujibu kichovu sana.
Lakini Rev ni jembe.