pole sana kaka,Rev.Damas Mkenda ambaye ni memba humu amefiwa na mkewe tangu jana tarehe 25,Februari,2013 .Mipango ya kuusafirisha mwili wa marehemu kuelekea Rombo kilimanjaro inaendelea pale Mbezi kwa msuguri.Bwana ametoa Bwana ametwaa Jina lake lihimidiwe.Amina