"Archievement za Reuben siwezi kuzijua", sio kila in and out ya mtu lazima iwekwe wazi, hata kama nazifahamu siwezi kuziweka ntakuwa nazianika kwa competitor wa scanad, kuwa na wasikilizaji wengi sio kuwa na matangazo mengi, inategemea na price, rotation, prime time, coverage, segment,
harafu mimi siwezi taka wampe wakati mtu tayari kaishapewa, rudia heading ya uzi
Kwenyeukweli tudanganye? fuatilia mkuu mbona haya mambo yapo waziDefinition ya mtanganyika halisi ni kupitia maneno ya huyu bwana.
Mafanikio ya kamapuni ya CMG haiyahitaji akili nyingi,kwani kila mwaka TCRA wanatoa Radio inayosikilizwa sana ,Clouds zaidi ya miaka kumi wanaongoza wao,ukiwa na wasikilizaji wengi basi hata matangazo utapata kwa wingi na mmoja wa viongozi walioiongoza Clouds ni Seba.Kwenye compare na contrast ndipo tunapata ubora/ufanisi wa mtu au ubora wa kitu na ndio maana kwenye uteuzi wa nafasi yoyote wata compare CV zenu,ili wajue yupi ni mzuri kuliko mwenzake.
Ruben kukaa mawingu kwa mda mrefu sio issue,kwani hata Bdozen,Mchomvu wapo mjengoni kwa mda mrefu.Mtu kama Seba yupo CMG kwa mda mrefu na kukaa kwake kuna kitu kaprove na ndio maana akapewa nafasi za juu za uongozi hapo CMG,je Ruben na kukaa kwake mda mrefu alishika nyazifa gani hapo CMG zaidi ya utangazji?
"Archievement za Reuben siwezi kuzijua"
Kwa hiyo kwa hiyo stsetement yako unamwongelea mtu usiyemjua,ila kwa mahaba na hisia zako unataka wampe nafasi ya uongozi wa juu hapo CMG?
Kijana nafasi kama ya Ruge sio ya majaribio hata kidogo,ukikosea kidogo manake unaiua kampuni,hasa katika kipindi hiki ambacho kuna ushindani mkubwa wa Radio,CLOUDS NI TAASISI KUBWA ANAHITAJIKA,MTU ANAYEIJUA CMG VIZURI SANA ili aendeleze alipo achia marehemu.
TCRA kweli hawajawahi kutangaza ,ilaWatu wote mnaongea humu hamjui biashara ya media mnabwabwaja tu hapa. TCRA hawajawahi kutoa ripoti kuonesha redio inayosikilizwa zaidi. Kama ipo tupe tuione. Hiki kitu hakipo. Radio zilizokua namba moja kwa miaka almost 15 kwa mujibu wa ripoti za ipsos na geopoll ni Radio free Africa na Radio Tanzania na TBC .clouds imekuwa ya sita miaka 10 imefika ya kwanza mwaka 2015 Kama unabisha tuoneshe wewe ripoti yako. Na pia clouds inafika mijini tu. Ndio mijini tu haifiki vijijini ndo mana mpaka leo inapigwa chenga na radio kama RFA na TBC.. jamaa hawana ata mitambo yao so navosema kuhusu jamaa ndege najua nachokiongelea naiju industri
watu wanaomwaga sifa na kutaka kutuaminisha kwamba huyu jamaa ni jembe waseme jamaa kabuni miradi gani ndani ya clouds..mbona miradi ya Ruge haihitaji utambulisho... kumsifia tu bure, na huko Scanad ni nini alichofanya ..country meneja alikuwa sijui mwaka mmoja akaondolewa fasta akaletwa mkenya kuhandle crisis maana jamaa almost aidondoshe kampuni.... acheni sifa za bure na kuwapotosha watu aise. Huyu jamaa si alienda hadi EFM waulize nini kilimtoa hukoo.. hhahahah acheni sifa kwa mambo msiyoyajua. Majey hamwachii mtu yeyote ambae ni jembe watu wamenunuliwa hadi magari...ukiona katoka ujue ni kilaza...
kwa scenario ya EFM ni ingine kabisa, ikle redio wakati inaanza kuna kundi lililotumika kuipa jina ili isimame,alikuwepo Ezden Jumanne, Baghdad, Nchakali na Sam Kiama ila si kwamba alienda kufanya kazi permanent pale, nikama walienda kustructure tu mfumo wa vipindiWatu wote mnaongea humu hamjui biashara ya media mnabwabwaja tu hapa. TCRA hawajawahi kutoa ripoti kuonesha redio inayosikilizwa zaidi. Kama ipo tupe tuione. Hiki kitu hakipo. Radio zilizokua namba moja kwa miaka almost 15 kwa mujibu wa ripoti za ipsos na geopoll ni Radio free Africa na Radio Tanzania na TBC .clouds imekuwa ya sita miaka 10 imefika ya kwanza mwaka 2015 Kama unabisha tuoneshe wewe ripoti yako. Na pia clouds inafika mijini tu. Ndio mijini tu haifiki vijijini ndo mana mpaka leo inapigwa chenga na radio kama RFA na TBC.. jamaa hawana ata mitambo yao so navosema kuhusu jamaa ndege najua nachokiongelea naiju industri
watu wanaomwaga sifa na kutaka kutuaminisha kwamba huyu jamaa ni jembe waseme jamaa kabuni miradi gani ndani ya clouds..mbona miradi ya Ruge haihitaji utambulisho... kumsifia tu bure, na huko Scanad ni nini alichofanya ..country meneja alikuwa sijui mwaka mmoja akaondolewa fasta akaletwa mkenya kuhandle crisis maana jamaa almost aidondoshe kampuni.... acheni sifa za bure na kuwapotosha watu aise. Huyu jamaa si alienda hadi EFM waulize nini kilimtoa hukoo.. hhahahah acheni sifa kwa mambo msiyoyajua. Majey hamwachii mtu yeyote ambae ni jembe watu wamenunuliwa hadi magari...ukiona katoka ujue ni kilaza...
TCRA kweli hawajawahi kutangaza ,ila
Geopoll ni kampuni ya utafiti,TCRA wao ndio wasimamizi wa Broadcasting Tanzania,je Geopoll wakitaka source ya wasikilizaji wa redio wataenda kuzipatia wapi?
Pili kweli hao Geopoll walitoa data mwaka 2015 ,lkn za miaka ya nyuma nimezitafuta hamna (kama unazo unaweza ukaziweka kunisaidia),ila kwenye miaka ya 2011 mpaka hivi sasa Clouds wanaongoza kuwa na wasikilizaji wengi.
Unataka kujua wasikilizaji wa redio unaenda kuchukua data ,kwenye kampuni za simu Voda,Tigo,HOW?Mkuu usidanganye umati Clouds hawajawahi ongoza before 2014 sababu walikuwa wanafika mikoa 5 tu hahahahaha usichojua ni kama usiku wa giza... nakwambia nenda kacheki leseni yao wamefika nchi nzima lini? hahahahahahahaahhahahah kabla ndo mana nasema tunabishana hapa na watu wasiojua kitu ila ujuaji mwingi..kama una ndugu clouds muuulize wameanza kufika nchi nzima mwaka gani..hehehehe utashangaa na roho yako. Na geopol hawaendi kwa TCRA...wanaenda kwa makampuni ya simu kuchukua namba za watu waliopo mikoani. TCRA haihusiani na Geopoll kabisaaaa... na wala hawashare utafiti. Geopoll wanafanya utafiti kwa kutumia mobile partners wao ni vodacom na halotel tigo sasa TCRA anatoka wapi hapo ndugu yangu. geopoll kila mwaka wanatoa mkuu tena kila mwezi mpaka leo ninao data zao sema su nikutumie PM
Tusiongeee kwa Mdomo tu Naomba angalia hii ripoti ni ya mwaka 2010 na niambie Clouds hapo imeandikwa inafika mikoa mingapi. http://www.tv4d.org/Tanzania_4_Mediaprofile.pdf
kuanzia 1995 - 2010 ni RFA Radio One na TBC pekee waliokuwa wanafika mikoa yote. sasa ndugu huyo clouds kawaje namba moja Tanzania wakati kaanza kufika mikoa yote 2012 - 2014. hio miaka 20 ya kuongoza inatokea wapi?
Unataka kujua wasikilizaji wa redio unaenda kuchukua data ,kwenye kampuni za simu Voda,Tigo,HOW?
Unataka data kutoka ktk Broadcasting industry,unaenda kwenye Telcom industry,HOW?
Unaweza ukanielewesha kwani hilo swala la wasikilizaji,sizani kama lina usiri kiwango cha kufanya TCRA wasitoe data.
Sawa Clouds ilichelewa kusambaa lkn ktk sehemu ambazo waliweza kuzifikia walikuwa wanafanya vizuri.
Geopoll na Ipsos huwa wako chini ya mamlaka gani na data huwa wanazipata wapiWatu wote mnaongea humu hamjui biashara ya media mnabwabwaja tu hapa. TCRA hawajawahi kutoa ripoti kuonesha redio inayosikilizwa zaidi. Kama ipo tupe tuione. Hiki kitu hakipo. Radio zilizokua namba moja kwa miaka almost 15 kwa mujibu wa ripoti za ipsos na geopoll ni Radio free Africa na Radio Tanzania na TBC .clouds imekuwa ya sita miaka 10 imefika ya kwanza mwaka 2015 Kama unabisha tuoneshe wewe ripoti yako. Na pia clouds inafika mijini tu. Ndio mijini tu haifiki vijijini ndo mana mpaka leo inapigwa chenga na radio kama RFA na TBC.. jamaa hawana ata mitambo yao so navosema kuhusu jamaa ndege najua nachokiongelea naiju industri
watu wanaomwaga sifa na kutaka kutuaminisha kwamba huyu jamaa ni jembe waseme jamaa kabuni miradi gani ndani ya clouds..mbona miradi ya Ruge haihitaji utambulisho... kumsifia tu bure, na huko Scanad ni nini alichofanya ..country meneja alikuwa sijui mwaka mmoja akaondolewa fasta akaletwa mkenya kuhandle crisis maana jamaa almost aidondoshe kampuni.... acheni sifa za bure na kuwapotosha watu aise. Huyu jamaa si alienda hadi EFM waulize nini kilimtoa hukoo.. hhahahah acheni sifa kwa mambo msiyoyajua. Majey hamwachii mtu yeyote ambae ni jembe watu wamenunuliwa hadi magari...ukiona katoka ujue ni kilaza...
Ni bombadia mkuuKwani huyu Ndege ni nani mkuu? Hebu fafanua vizuri.
hawatoi DATA TCRA ndugu....TCRA hawana data zozote!!!! Someni hapa jinsi wanavofanya research tusibishane sanaGeopoll na Ipsos huwa wako chini ya mamlaka gani na data huwa wanazipata wapi
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 **** umemuua sana shemeji yangu huyo.hakiangaliwi kipindi kirefu kinachoangaliwa ni nani anadeliver, uyo jamaa mpaka piko kichwani na vitenge huwa simuelewi kiufupi
mimi sijabishana ila nimetaka kufahamu, na ninaona umenifahamisha kwa kuniwekea dodoso nilipitie, ubarikiwehawatoi DATA TCRA ndugu....TCRA hawana data zozote!!!! Someni hapa jinsi wanavofanya research tusibishane sana
Research Modes & Process - GeoPoll
Conduct mobile-based surveys throughout Africa, Asia, Latin America, and the Middle East using SMS surveys, voice calls, and mobile appswww.geopoll.comIpsos Launches Mobile Package Solution Driven by Behavioural Science
Recognising that successful package design must perform well in-store and drive saliency on the mobile devices where people increasingly shop, Ipsos Marketing has developed a behaviourally driven pack testing solution.www.ipsos.com